Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,654
- 8,553
Kweli maisha yanabadilika wandugu hali ya sasa kwenye mapenzi siyo kama zamani,enzi hizo ukimpenda mwanamke halafu mkatibuana ukimuambia kuanzia leo mimi nawewe mapenzi yetu yamekwisha basi hapo mwanamke atalia vibaya mno mpaka utamuonea huruma lakini kwa hali ilivyo sasa ukimuambia tuachane tu anakujibu poa kwaheri na hakutafuti tena
MWISHO: kweli mapenzi ya zamani zamani mpaka nimeyamisi kwakweli
MWISHO: kweli mapenzi ya zamani zamani mpaka nimeyamisi kwakweli