Enzi hizo mwanamke ukimuambia tuachane analia sana ila siku hizi thubutu

Kashalizwa na wakwanza .... Wapili nakuendelea keshazoea hivyo ukimwambia leo mimi na wewe basi anachukulia poa .....alipoachwa na wakwanza alilia weee mpaka machozi ya kulilia mwanaume yakaisha labda kama anayo basi ni ya makwazo kazini kwake....
 
kumbeeeeeee
 
na toka yameondka hayajaweza pata nauli ya kurd utaysubr sana mana haifahamiki yaliondka na usafr gan inawezkna umeyasubr bandarn kumbe yaliondka na ndge, hapo chacha
 
Back
Top Bottom