Enzi hizi hazirudi tena

Enzi hizi hazirudi tena

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,116
1416938913802.jpg
 
Umenikumbusha redio yangu ya tape Hitachi Panasonic
 
Ukiwa na redio kama hiyo lazima mezani kuwe na bic kwa ajili ya kufast foward au reverse kaseti...

Halafu betri zipo nje zimeanikwa zikiendelea kupata chaji juani...
 
Ukiwa na redio kama hiyo lazima mezani kuwe na bic kwa ajili ya kufast foward au reverse kaseti...

Halafu betri zipo nje zimeanikwa zikiendelea kupata chaji juani...

Na miziki iliyotamba ni yekeyeke nk
 
"kikuku kinanukia uuunhhh...." ...teh teh teh!!!

Hii kanda ya mori cante na sophia George zilikuwa zinakoma na kuna kama station mbili hivi zilikuwa zinapatikana SW1 zinadunda mziki ni balaa ila lazima antenna uongezee wire ufike kwenye bati ndio unazipata mchana
 
Back
Top Bottom