mkuu kuna mama wengine wana gubu mpaka mtoto mwenyewe anakubali kuwa jamani mi mwenzenu mama yangu acheni tu naomba wife asiwe hivi jamani,si wote wanaowish wake zao wawe as their mamas inategemea na mazuri ya mama yake,na hata kama kila moja ana mazuri yake lakini bado mabaya ni mabaya na mazuri ni mazuri tu so hata kama ni mama au baba au whoever kama ana mabaya utayaona na mazuri utayaona tu.
yeah chaeating zote hazikosi visingizio so naona na wewe kisingizio chako ni searching for a woman with characters like your mama au siyo mkuu?
Si uliniambia umeolewa....!!!!!!!!!!!!!!!!???????????????kwanini Baba Paroko
I'm fine!!!!!!Morning...how are u
Hahahahaa..mkuu sijafikia hapo.
Ulichosema kina ukweli na nakubaliana na wewe 100%. Ila pia kama pamoja na gubu zake ana mazuri yake ambayo hata ukikaa mbali unayamiss. Na kwa kuwa kila mtu anapenda mazuri basi mazuri+upendo, mabaya yanazikwa. So whatsoever the character ambazo mama anazo bado kuna ambazo kijana atahitaji sana mke wake awe nazo.
Ulipokuwa unakojoa kitandani ulipewa karipio liwe viboko au vinginevyo..na mpaka leo unafahamu kukojoa kitandani sio staha.
Hata biblia inasema "mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hata atakapokuwa mzee". Ninachotaka kusema ni kwamba kile ulichofundishwa au jinsi ulivyokuwa treated kina impact endelevu katika maisha ya mtu. Wewe hapo leo ukiambiwa "baby hili shati silipendi, vua vaa lile pale"....unavua tena huku unachekacheka, je tuseme hujapevuka akili???
Si uliniambia umeolewa....!!!!!!!!!!!!!!!!???????????????
am glad to hear thatI'm fine!!!!!!
Kwani si ulishanipata..?? AU..???
Ni mimi hapa Hoe, kwa maana umeniita.
BPM na we umeona enheehahahaha na kweli maana ......
Mi namuomba Mungu anipatie mwanaume mwenye Quality za baba angu
kuhongana ndo mpngo mzima siku hizi !!budget haiwi tight sana
nyie chitini tu coz mmezoea
msitafute sababu bana!!hata sisi
baba zetu hua wanatujali sana tu!!
Mwanaume ndoto kuwa na mke mwenye "kwalite "na tabia kama za mama yake,na mwanamke ana ndoto za kuwa na mume mwenye tabia za babaye,hence the equation is balanced.Why!!!!!!!
Umejifunza lini uongo?
Good mrng!