Unateleza kivipi BAGAH?
Kapigiwe ramli!
manoah niko online 24-7 so iyo sio tatizo bado,..wireless kwetu mpaka maliwatoni...
asante sana mkuu wangu,..nimepata boss wa kihindi bana,..naomba uwe unanidip kila siku kunikumbusha kuingia jf aise,..i missed you guys