Enyi Tume ya uchunguzi, nendeni kwa Chacha Dereva aitwae na watawala AFISA msafirishaji, aliyevunjwa miguu na polisi ana mengi

Enyi Tume ya uchunguzi, nendeni kwa Chacha Dereva aitwae na watawala AFISA msafirishaji, aliyevunjwa miguu na polisi ana mengi

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,937
Reaction score
10,815
Nimepokea ujumbe wenu WA kunitaka niwape USHAIDI kama kweli Nini najua kabla na baada ya uchaguzi kilichagiza machafuko?
Kwanza niwambie siji.

Pili niwambie nawajua nyinyi ni watii wake huyu RAIS.

TATU nawasaidia nendeni kwa chacha awaeleeze alivyokamatwa ndo mtajua yakuwa tarehe 29 nchi YETU ilivurugwa na wao na sio sisi!
 
Back
Top Bottom