Enyi mliooa, mlipataje wake?

Dah aisee umenigusa sana na hii story yaani hapo ingekua mimi naoa wiki iliyofata
 
HAaaa haaa wewe sio mtu mzuri bro ni kiwango cha kimataifa
Mfano me nna mademu kama 6 hivi
Mfano kesho ikitokea ulazima wa kuoa najua nimuoe nani kati yao
Siyo kuzunguka mtaani kutafuta wa kumuoa
 
Hahahaaaaaa.
Mke wa kuoa huwezi kumpata kwa stail hiyo Mkuu, unawinda kama mnyama.
Uko kwenye hatari kubwa ya kupata mtu asiye sahihi. Lakini hiyo ya kanisani ni njia nzuri, Unaweza kufahamiana na baadhi ya hao unaokutana nao kanisani unakuwa na mawasiliano yao, mwisho wa siku yuko utakae muelewa.
 
Ila nakushauri usitafute tu video ya gwajima maana chungu cha leo hatutakihesabia[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana mbibi, sina muda huo kwa sasa
 
Tumia watu watakusaidia....
1.viongozi wako wa dini
2. Wazazi au walezi
3dada na mashangazi
 
Wanawake ni hao hao unaokutana nao kanisani,barabarani,sokoni, chagua owa,
Umenikumbusha best yangu aliniuliza hivi yule J bado hajaolewa naona atanifaa maana ananijua si tulisoma woote.
Ahahaaa haha yaani amerudisha kumbukumbu nyuma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…