Enyi mliooa, mlipataje wake?

mwanamke wa kuoa sio kama pesa ya kuokota ni una mjenga kwa mikono yako yako mweneywe ni kam kukamata paka unajaribu kumfuga atakaye kubali kuendana na wewe na kufugwa kwa style unayotaka wewe ndio huyo huyo unaweka ndani...ina maana jaribu hilo wazo la kuoa inatakiwa uwe nalo miaka ya nyuma kabla hujawa tayari maana yake unakua katika mahusiano na wanawake wa ligi yako uanyekupenda, kukuheshimu na mostly kutaka kujena maisha na wewe...note this process can take very long time than actual marriage could take
 
mwanamke wa kuoa sio kama pesa ya kuokota ni una mjenga kwa mikono yako yako mweneywe ni kam kukamata paka unajaribu kumfuga atakaye kubali kuendana na wewe na kufugwa kwa style unayotaka wewe ndio huyo huyo unaweka ndani...ina maana jaribu hilo wazo la kuoa inatakiwa uwe nalo miaka ya nyuma kabla hujawa tayari maana yake unakua katika mahusiano na wanawake wa ligi yako uanyekupenda, kukuheshimu na mostly kutaka kujena maisha na wewe...note this process can take very long time than actual marriage could take
 
Mkuu umesaidia wengi ,tuanze mchakato wa kupiga simu kwa Bibi mzaa Bibi huko.
 
Kiongozi! Wanawake wanaumiza sana vichwa. Nilimtongoza halafu hakuniambia kama ana mwanaume mwengine. Naye alinijibu ananipenda.... Mama weee! Baadae ananiambia namuweka kwenye wakati mgumu kumbe ana mchumba na kama asingewahiwa basi angelikubali niwe wake wa maisha... Blah! Blah! Kibao zikaendelea.


Nikamwambia rudi kwa bwana wako. Sasa hivi moyo unaniuma! Nakomaa kiubishi tu najua yana mwisho.
 
kwa muda kama ukiweza tafuta movie moja inaitwa 500 days of summer ina mengi ya kujifunza
 
Huyo mwanamke hafai daima.
 
MKUU KUOA NIKUTOKA SHIMONI KWENDA KABURINI ...
 
Huo ni mchakato mgumu na mara nyingi ni kama kuna hali ya kubahatisha hasa pale mwanzo. Ila cha msingi hakikisha unakuwa na VIGEZO vyako mwenyewe binafsi vya mtu unayetaka awe mama wa watoto wako weka vigezo bila kushinikizwa na mtu yoyote. Mimi niliangalia vitu hivi-

Mosi, kwa kuwa kipindi hicho nilibahatika kufika kidato cha nne lengo langu la kwanza kabisa ni mtu walau aliyefika elimu hiyo, niliona mtu mwenye elimu chini ya hapo tungesumbuana. Na kweli nilikuwa sihangaiki kabisa na mtu wa chini ya elimu hiyo.

Pili, nikasema piga ua mke wangu hawezi kuwa wa makabila dulani. Ni hivi. Kwetu kutokana na uzoefu wa miaka mingi kuna makabila 'hayakubaliki' kirahisi kwa wazazi. Kwa wao kuna makabila yanahesabika kama ni watu wakorofi, wasio na ubinadam n.k. Hukatazwi moja kwa moja kuleta watu hawa ila kwa hakika ujiandae kupata mapokezi hasi. Kwetu mke hasa wa kwanza anahesabika kuwa sio tu wa kukutunza wewe peke yako bali anatunza familia yenu nzima.

Tatu, mke lazima awe wa kuvutia machoni KWAKO. Najua kwa wengine wanaweza kuipuuza hii pointi lakini ni muhimu sana. Usizoe tu mtu huko mtaani. Mke ni mtu maalum sana. Sio kila mwanamke anafaa kuwa mke. Kumbuka huyu ni mtu wa karibu sana utakula nae, utalala nae utashea naye karibia kila kitu lakini kubwa zaidi utaishi naye maisha yako yote hapa duniani. Na kwa baadhi ya imani mke huwa mmoja tu. So ni lazima auzike vizuri kwa vigezo vyote, usijekujuta baadae.

Nne, pata mke kutoka kwenye mazingira sahihi. Kuna hatari zake kuoa mwanamke tu maadam mmekutana tu huko mtaani. Mazingira mazuri ni maeneo ya ibada (makanisa, misikiti), makazini, mashuleni. Hawa mara nyingi wanakuwa kwenye mwelekeo fulani 'kutazama' maisha ya baadae. Kama ni lazima uchukue mtaani hakikisha unaifahamu vema familia yao!!

Hayo ni msingi kwangu, lakini kiujumla hakuna mtu mkamilifu kwa 100% mapungufu yanakuwepo la msingi ni kuvumiliana na kurekebishana.


==KILA LAKHERI KUSAKA MWALI==
 
Hii ni kweli kabisa mimi ilinitokea. nilimuona mara ya kwanza moyo ukasema 'Yes' hlf tukapotezana kitambo tu. Kumbuka hatukuwa tunafahamiana kabisa.

Nikaja kumuona mara ya pili, lakini sehemu nyingine tofauti kabisa (na sikuwa nakumbuka kama ni yuleyule niliyeonana naye siku ile ya kwanza), 'Yes' ikaja tena. Sasa ni wahenga tuna watoto kadhaa.
 
Inakuaga hivo mkuu japo me sio muhenga kihivo. Mara ya kwanza namuona mke wangu (hadi kale kasauti ka- 'yes this is her' kakanisemesha) walikuja kunitembelea chuoni akiwa na dadake ambaye ni class mate wangu...so nilipomuona tu mdogo mtu nikasema huyu ndo mke wangu. From there hata washkaji nikawa nawaambia mke nitakayemuoa mimi tayari yupo ila yeye hajui lolote...kuna mwanangu mmoja akanicheka sana...kwamba inawwzekanaje useme ni mke wako wakati hata hujarusha mistari? Nikawaambia ndo hivo huyo lazima awe mke wangu.2017 nmefunga naye ndoa na akiwa chuo 2nd year na sasa tunategemea mtoto wetu wa 1
 
KWA NJIA HII UTABUHI AISEE...ILA NO FORMULA WE HIYO NJIA INAWEZA KUKUTOA KIMASOMASO...ILA UVOANGALIA ANGALIA USIJE INGIA PASIPO
 
Njoo nikupatie mke
Mie nina bahati aisee wanakuja tu
 
Mfano me nna mademu kama 6 hivi
Mfano kesho ikitokea ulazima wa kuoa najua nimuoe nani kati yao
Siyo kuzunguka mtaani kutafuta wa kumuoa
HII NDIO INATAKIWA...SI CHINI YA 5 IKITOKEA DHARURA UNAOA KESHO UNACHUKUA HUYU AKIZINGUA CHUKUA YULE
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…