Enyi ccm tutegemee nini kutoka kwenu??????

Enyi ccm tutegemee nini kutoka kwenu??????

tegemea dhiki kuu ndani ya miaka hii 4 iliyobaki
 
Tegemea kusikia vituko kama hiki cha jana:

Spika wa bunge kuitisha mkutano na waandishi wa habari, ajenda kubwa ikiwa ni kueleza tofauti kati ya Anna, Hanna na Anne.
 
Kuna wanawake wanaoweza kufanya mambo makubwa ila kwa huyu mama na pumba zeke mimi nimekata tamaa kabisa. Ataliingiza taifa katika dhiki moja kuu sana. Nilifikiri atakuwa taa katika giza, badala yake amekuwa mkandamizaji wa hata kile anchokiamini.
Tegemea kusikia vituko kama hiki cha jana:

Spika wa bunge kuitisha mkutano na waandishi wa habari, ajenda kubwa ikiwa ni kueleza tofauti kati ya Anna, Hanna na Anne.
 
Back
Top Bottom