wamekwenda very fast.The last time some five yrs back nilikuwa pale haya hayakuwepo. HongereniNdio mzee baba karibu ujionee
Ndio kwa mujibu wa Mataga
Hakuna kitu kama hiki bongo. Yale madaraja ya ubungo na Tazara ndiyo mnaita exchangeHii ingekuwa bongo sijui kama wangelilalaView attachment 1485868View attachment 1485869View attachment 1485870View attachment 1485872
Hiyo ni Kampala to Entebbe expressway, inaunganisha majiji mawili makubwa kabisa ya Uganda. Nilipita hapo hatua za awali mwaka 2013, wameijenga pembeni ya ile iliyokuwepo. Museveni hapo kawapa kitu kizuri na kikubwa waganda.Alafu mbona kama zimejengwa mashambani. Nnavyo elewa mimi hizi zinakuwaga town sehemu penye msongamano mkubwa wa magari
M7 yuko vizuri upstairHiyo ni Kampala to Entebbe expressway, inaunganisha majiji mawili makubwa kabisa ya Uganda. Nilipita hapo hatua za awali mwaka 2013, wameijenga pembeni ya ile iliyokuwepo. Museveni hapo kawapa kitu kizuri na kikubwa waganda.
mbona ni ya kawaida sana, tanzania tunazo nyingi tuHii ingekuwa Bongo sijui kama wangelilala
Huku zikiwnza jenga mnasema hatuli barabara..Limuseveni Napo sometimes lipo vizuri
kakojoe ulaleHakuna kitu kama hiki bongo. Yale madaraja ya ubungo na Tazara ndiyo mnaita exchange
Express zinakua town?Alafu mbona kama zimejengwa mashambani. Nnavyo elewa mimi hizi zinakuwaga town sehemu penye msongamano mkubwa wa magari
Nilipita hiyo barabara 2001 ilikuwa kawaida sana.wamekwenda very fast.The last time some five yrs back nilikuwa pale haya hayakuwepo. Hongereni