Entebbe express way

Entebbe express way

Nilipita hiyo barabara 2001 ilikuwa kawaida sana.
Exactly, kama ni kweli wamajitahidi sana! Lkn hapakuwa na msongamano wa magari by then.. ukiwa unatoka airport to Kampala/kwenda UVRI
 
Msongamano mkubwa ulikuwepo ukifika Kampala, lakini umuhimu wa hiyo barabara ni kuunganisha mji wenye Int. Airport, Ikulu, UN, etc na jiji la Kampala. Ikulu na airport ndio inaonyesha umuhimu wa express way kuwepo hapo.
 
mbona ni ya kawaida sana, tanzania tunazo nyingi tu
Tanzania tuna dual carriageway yenye flyovers, bypass, bridges, etc. inayounganisha majiji mawili? Labda unaongelea SGR inayokuja kuunganisha Dar na Moro! Hiyo barabara yao ni double road kutoka Kampala mpaka Entebbe.
 
Acha uongo, haikuwepo hiyo barabara huo mwaka!
Kabla ya kuwaita watu waongo kwa ungumbaru wako, jua kusoma kwa ufahamu kwanza.

Nilipita barabara ya Entebbe Kampala mwaka 2001, barabara ya Entebbe Kampala ilikuwepo mwaka 2001. Unabisha hilo?

Mwaka 2001, haikuwa hivyo inavyoonekana kwenye hizi picha, ilikuwa ya kawaida sana, two lane road isiyo na mizunguko hiyo inayoonekanankwenye picha.

Ushaelewa?
 
Kuna kitu watu mnabishana bila kujua hii barabara ni mpya imejengwa sehemu nyingine kabisa na plan ni kuwa Toll Road ya zamani inayoenda Entebe bado ipo kama kawaida na haitalipiwa unapita bure ila hautaweza kuwahi kama unadharula
Sawa sawa na kusema bara bara inayounganisha Dar na Moro iendelee kuwepo kama kawaida halafu tuamue kujenga express road (ambayo unakuwa unalipia kupita kama ilivyo kupita Daraja la kigamboni)kama hiyo ya kampala to entebe tofauti ni kwamba moja ni ya kulipia nyingine si ya kulipia ingawaje, Kwa sasa sijui kama wameanza kulipia kupita hiyo njia wanayosema mpya.
 
Nimekuelewa kiasi, lakini hiyo barabara unayoiona ni mpya kabisa iko pembeni ya hiyo unayoisema, na sio pemebeni sana hadi uiite ni barabara moja. So ni barabara mpya kabisa ambayo haikuwepo hapo kabla. Unayoisema na yenyewe ipo bado pia.
 
Mueleweshe huyo Kiranga, aache na kutukana members hapa
 
Kwani mimi nilisema nilipita hiyo barabara mpya?
 
Mimi niliongelea barabara niliyopita mwaka 2001, nikaambiwa muongo.

Kwani mwaka 2001 kulikuwa hakuna barabara?
 
Mueleweshe huyo Kiranga, aache na kutukana members hapa
Hakuna siku niliyompa member maneno yake (si kumtukana, naita kumpa maneno yake) kwa jambo ambalo hajalianzisha yeye mwenyewe kwa shari.

In the hood they say, don't start nothing, there will be nothing.

Sasa mtu anaanza kashfa za jumla na punguzo la bei kwa kuniita muongo, wakati hata hanijui, na kiini cha tatizo ni mtu kukosa kujua kusoma kwa ufahamu.

Nikimpa maneno yake, utanilaumu kwamba nimemtukana?

Kwetu tuliopata kulelewa kwa heshima na taadhima, kumuita mtu muongo ni kashfa mbaya sana. Humuiti mtu muongo bila ya kujiridhisha kwamba ni muongo kweli, si mtu kaghafilika tu, au uneghafilika wewe, halafu umuite muongo kirahisi.

Hiyo ni inda mbaya ya kisirani inayoonesha mzoroto wa werevu.

Nikimpa maneno yake kwamba huyu ngumbaru asiwe mwepesi wa kuita watu waongo, kabla hajajifunza kusoma kwa ufahamu nitakuwa nimemtukana hapo?

Hapo sijamtukana, nimempa maneno yake tu.
 
la kwetu hili
 
Attachments

  • daraja kg.jpg
    daraja kg.jpg
    78 KB · Views: 8
Tanzania tuna dual carriageway yenye flyovers, bypass, bridges, etc. inayounganisha majiji mawili? Labda unaongelea SGR inayokuja kuunganisha Dar na Moro! Hiyo barabara yao ni double road kutoka Kampala mpaka Entebbe.
kampala paka Entebbe amna umbalio huo ndugu, lisaa limoja na nusu paka mawili unafika, ni wilaya mbili zilizo karibu
 
Ufisadi uliofanyika hapo si mchezo,haijawahi kutokea ulimwenguni kwa barabara kama hiyo ni usd 9.2 mill per km???..wakati kwa viwango vya dunia ni usd 1 mill per km. Shikamoo museveni naona unafuata nyayo za kenyatta
 
Kikubwa East Africa yote iboreke kwa miundo mbinu na mbinu za miundo.
 
Back
Top Bottom