MWESONGO RAMADHAN
Member
- Jul 24, 2019
- 46
- 46
Bongo tuna magari ila hatuna barabara , hao wana barabara ila hawana magariHii ingekuwa Bongo sijui kama wangelilala
Bongo tuna magari ila hatuna barabara , hao wana barabara ila hawana magariHii ingekuwa Bongo sijui kama wangelilala
Mkuu hiyo barabara inatoka airport entebbe kuingia town kampalaAlafu mbona kama zimejengwa mashambani. Nnavyo elewa mimi hizi zinakuwaga town sehemu penye msongamano mkubwa wa magari