Enrique Iglesias

Dah,Dah....Ngoja nirudi youtube...
 
Tukisema LIVE.. Sia anaingia kwa Mariah Carey?
mkuu nafikiri hawa wapo vizazi viwili tofauti, waimbaji wote wa 90s kushuka ni genuine maana auto tune ilikuwa haijagunduliwa bado.

mimi nafananisha hawa wa sasa vizazi vya .com, na mariah baadae career yake ina scandal nyingi tu za kutumia playback.
 
mkuu kwanza nikisema kuimba simaanishi studio version, namaanisha ujue kuimba real life.

sia anajua kuimba, angalia live show zake, nenda youtube tafuta chandelier live version yoyote msikilize utaelewa ninachotetea.
Wasanii wa ulaya na America wapo vizur kwenye show zao na wengi wanatembea na band zao jukwaan anaimba live sio kuplay wimbo alaf afatilizie kama hawa wa bongo. We tafta ata show za akina pink uone tu
 
Takin back my love
Hilo pina kwikwi....dah Ciara at his best.🙌
Anaesema Enrique hajui kuimba daah pole yake sana. Era haziwezi kufanana baba yake alikua bora wakati huo na Enrique ni bora kwa wakati wake haijalishi ni vifaa gani walitumia
Kama Dingi aliimba kumzidi Enrique? Hata Michael Jackson hamkuti huyo Dingi....Yani Dingi zaidi hata ya M.J
 
Kabla ya kumpokea Yesu maishani mwangu nilikuwa shabiki wa huyu jamaa,miaka takribani 7 iliyopita hivi sina time na mziki wa kidunia
Kwasasa unasikiliza muziki wa sayari ya wapi
 
Unamzungumziaje ALICIA KEYS... huyu bdo yupo na juzi tu katoa ngoma then mfananishe na huyo Sia.
 
Mapenzi yangu juu ya Mziki.. Simu tu ina Ngoma 5000+ bado mi playlist Non stop za kutosha.. 😊
 
Wasanii wa ulaya na America wapo vizur kwenye show zao na wengi wanatembea na band zao jukwaan anaimba live sio kuplay wimbo alaf afatilizie kama hawa wa bongo. We tafta ata show za akina pink uone tu
loh unataka ushahidi wa video? kuna wasanii feki kibao marekani,

wana lip sync na autotune, mwanamuziki anaimba anatapika nyimbo inaendelea kuimba live, mwengine anaanguka nyimbo inaendelea kuimba, wanaojua kuimba live ni wachache kuliko fake.
 
Umeisahau MISS YOU
 
Wataje
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…