Enjoy Your Weekend Here>>>>>>>>>

Enjoy Your Weekend Here>>>>>>>>>

ahaa, huyo mlete kabisaa (aandamane na tray ya mayai, popcorn kg 2 na sausage ile mega pack ya pcs 100)
tunaanza na cartoons jumamosi asubuhi, tunafuata top gear, mchana wrestling na usiku aircraft crash investigation na FBI investigations.
Ntamleta kijana wangu kwako

maana naona mna interest za kufanana kwenye vipindi, mie tunagombana kutwa kucha na top gear
 
4StrokeEngine_Ortho_3D_Small.gif
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Bhana hii kitu ipo sana nakumbuka wakati nasoma Magamba Boyz ( now Sebastian Kolowa University) nilikuwa mteja sana wa hii kitu.....hivi kumbe shule nilizosoma zimekuwa Vyuo
Chekechea niliyosoma ilikua inamilikiwa na Magamba by then ikiitwa Chuo Cha CCM ambayo sasa ni Institute of Judicial Administration (IJA) hapa nilisoma na Bwana Chabebi mohamed Mtoi halafu Secondary nikaenda Magamba now is Sebastian Kolowa University na kisha A-Level nikaenda Mkwawa hahahaaaaa sasa hizi University nilizo-attend sijui zitageuka na kuwa kitu gani sijui labda ziwe University of University
CC: MANI Paloma zumbemkuu saudari
Halafu mpwa lushoto zinapatikana hizi !
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hahahahaahaa saudari hiyo ndio makitu yenyewe ya kule kwetu Nai.
Mwambie sosoliso ajaribu kuniiga kudumisha mila aisee
Kuna raha zake.
Nawakaribisha umasaini kwenye analogy life ingawa na sisi musa si mrefu tunazama zetu digitali

Hahahahahaaaaa!!! sosoliso ataweza wapi mambo hayo, yeye kazoea usharobaro tu.
Labda kidoooogo Bujibuji anaweza akamudu mihemko hiyo.
 
Last edited by a moderator:
Ninaanza kupata wasiwasi na wee

Are you sure una miaka 24? Mbona hivi vyakula ndo wanavyovipenda na wao?
Ukiweka na juisi hapo mchezo umekwisha

ahaa, huyo mlete kabisaa (aandamane na tray ya mayai, popcorn kg 2 na sausage ile mega pack ya pcs 100)
tunaanza na cartoons jumamosi asubuhi, tunafuata top gear, mchana wrestling na usiku aircraft crash investigation na FBI investigations.
 
Back
Top Bottom