Safari_ni_Safari acha uchoyo wa lift.
Bujibuji una ugomvi na Safari_ni_Safari..? njoo uone huku picha yako alivyoibandika hapa kila mwenye macho aone.. Halafu hukuwa na Paloma sasa.. sijui nani huyu...
Huuuuwiii msimu huuu nilivuna mzigo mkubwa sana aaaaaaaaahh nouma nikikutana ana askari
Huyu jamaa ameniacha hoi vibaya sana!mi mwenyewe bado niko ofcn sijui kama nitamaliza muda wa kazi au nitatoka mapema!
halafu kaziweka mapema,muda wa wahindi huu!!Huyu jamaa ameniacha hoi vibaya sana!
Huyu single man anafaidi sana maisha!View attachment 87004
Compare this.