Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,468
- 113,583
Kwa vile leo ni weekend, hakuna ubaya kuburudika na picha za blacks beauty ambapo katika wasifu wa Black Beauty, jee, did you know kuna two different types of Black Beauties?!.
Kuna Blacks ambao ni black inside out na kuna blacks ambao ni black outside but inside red!.
Hao black inside out ni weusi kote, nje, ndani weusi, utawajua kwa lips nyeusi, na fizi nyeusi na wale black outside, but inside red, ni weusi wa rangi ya ngozi ya nje tuu, ila inside ni red na utawajua with red lips!.
Lengo ni kuelimishana tuu kuhusu hizi two different types of blacks! na kuwapatia burudani ya macho kwa week end!.
Amini usiamini, ukiangalia vitu vizuri!, you'll feel good!, when you feel good, you open powers doors to be good and to get good things in life!.
Wale wengine wenye black pics leteni tuziongezee!, kizuri tazama na wenzio!.
Week end njema!.
Pasco