Enjoy Black Beauty: Did You Know They Are Two Types?!. Black Inside Out & Black Out, Inside Red!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,337
113,179
tumblr_m35il0UxfP1r666vro1_500.jpg
tumblr_m4r7a5CuJa1r7a5ooo1_500.jpg
tumblr_lgbpmwBld31qg0hl4o1_400.jpg
The-Modern-Face-Of-A-Tribe-Cape-Town-South-Africa1.jpg
phoca_thumb_l_togolese-girl.jpg
images-1.jpeg
images-2.jpeg
images-3.jpeg
images-4.jpeg
images-5.jpeg
2402408143_f0d0096ae1_b.jpg
8267293807_d87e23ed60_z.jpg
adaora(9).JPG
african-woman-face-11213525.jpg
image-2490-turkana-girl-turkana-tribe-kenya.jpg
Wanabodi,

Kwa vile leo ni weekend, hakuna ubaya kuburudika na picha za blacks beauty ambapo katika wasifu wa Black Beauty, jee, did you know kuna two different types of Black Beauties?!.

Kuna Blacks ambao ni black inside out na kuna blacks ambao ni black outside but inside red!.

Hao black inside out ni weusi kote, nje, ndani weusi, utawajua kwa lips nyeusi, na fizi nyeusi na wale black outside, but inside red, ni weusi wa rangi ya ngozi ya nje tuu, ila inside ni red na utawajua with red lips!.

Lengo ni kuelimishana tuu kuhusu hizi two different types of blacks! na kuwapatia burudani ya macho kwa week end!.
Amini usiamini, ukiangalia vitu vizuri!, you'll feel good!, when you feel good, you open powers doors to be good and to get good things in life!.

Wale wengine wenye black pics leteni tuziongezee!, kizuri tazama na wenzio!.

Week end njema!.

Pasco
 
Black Out inside red ni balaa!. Hatari Kubwa!.
P.

Hahaha kumbe basi na me ntakuwa balaa hahaha! Pasco unajua kunitia kiburi cha sifa mweee

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hahaha kumbe basi na me ntakuwa balaa hahaha! Pasco unajua kunitia kiburi cha sifa mweee

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Heave, sikutii kiburi wewe bali ndio ukweli ulivyo!, ninauhakika wale wanaobahatikaga huwa wanakuambia!, kwa vile huwa hamuulizani maneno mnao ambiwa, hivyo unadhani hao wanaokuambia hayo wanayokuambia ndio zao kazi yao ni kuyasema hayo hayo kwa wote!.

Hujagundua tuu kuna watu huwa wana ng'ang'aniwa wakati kuna wengine watu huja na kujipitia tuu huku wakiendelea na safari zao?!. Hujiulizi?!.

Aisee, basi vimaneno ntakavyokuwa naambiwa from now on itabidi niwe navitilia maanani hahahaha, u made my night leo uuuuuuh. Thanks

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wanabodi,

Kwa vile leo ni weekend, hakuna ubaya kuburudika na picha za blacks beauty ambapo katika wasifu wa Black Beauty, jee, did you know kuna two different types of Black Beauties?!.

Kuna Blacks ambao ni black inside out na kuna blacks ambao ni black outside but inside red!.

Hao black inside out ni weusi kote, nje, ndani weusi, utawajua kwa lips nyeusi, na fizi nyeusi na wale black outside, but inside red, ni weusi wa rangi ya ngozi ya nje tuu, ila inside ni red na utawajua with red lips!.

Lengo ni kuelimishana tuu kuhusu hizi two different types of blacks! na kuwapatia burudani ya macho kwa week end!.
Amini usiamini, ukiangalia vitu vizuri!, you'll feel good!, when you feel good, you open powers doors to be good and to get good things in life!.

Wale wengine wenye black pics leteni tuziongezee!, kizuri tazama na wenzio!.

Week end njema!.

Pasco

Tupiamo Pasco 1405731878879.jpg 1405731878879.jpg
 
Mkuu Mshana, nimetupiamo, ila kule ni ile naturali, hapa dodoki imetembea japo kidogo na unyele umefanyiwa jazia jazia!.
Pasco

Ila unywele ni originale kabisa kama yule shetani wa ocean road hahahahaaaa
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom