Enjoy 3g internet kwenye eneo lenye 2g

Enjoy 3g internet kwenye eneo lenye 2g

STERLING2014

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
239
Reaction score
74
Kwa Mara nyingine wadau was android napenda kuchangia elimu japo ndogo kuhusu mtandao was 3g has a kwa watumiaj was mtandao was voda. Najuanakumbuka niliwahi kuuliza hapa kuhusu namna ya kunasa mtandao was 3g uwapo ktk eneo la 2g. Leo baada ya kufanya utaft was muda nimegundua yafuatayo kwanza.
Vifaa vinavyohitajka
1.simu ya android yenye uwezo wa 3g na setting ya roaming
2.laini ya voda yenye rangi ya bluu. Achana na nyekundu. Ukikosa tumia nyeupe yenye kichip kidogo ndam take
2.eneo la 2g
Njia za kunasa 3g
1. Kwanza weka chip yako kwenye cm kisha washa. Nenda kwenye setting~more~mobile netwek~ tick roaming
2. Nenda kwenye settings ~more~ mobile netwek~netwek mode~ tick 3g only
Kisha iache muda utasearch na juu ya minara itaandika R. Ukiona hivyo ujue tayari imefanya searching ya 3g.
4. Unachotakiwa sasa ni ku-enable data. Kwa enable data itaandika juu ya minara ya netwek RH. Now enjoy ur 3g high speed. Atayefanikiwa akili hapa ili kuona kwa namna gani tumefanikiwa. Usisahau kutujulisha kama umefanikiwa. Tayari elimu hii imenisaidia Mimi na wadau wengine watatu. Ni time yako kufurahia 3g internet kwa kasi hadi ya 1mb/s
 
kaka huo mtandao upo nchi nzima na unaandika namba au tritel ndio jina lake na sasa unatumiwa na line za bol/smart wala msipate shida nunueni tu line za smart mtapata 3g hadi huko vijijini
 
natumia smart niko kgambon yani hakuna kitu speed mbovu hakuna 3g ..japo naskia et wna 3g nchi nzima..vp kuhusu kgambon hapa mpaka posta pia smart wnazingua .
 
Hamna 3G ya smart Dar hacha kudaganyika
 
Kwa Mara nyingine wadau was android napenda kuchangia elimu japo ndogo kuhusu mtandao was 3g has a kwa watumiaj was mtandao was voda. Najuanakumbuka niliwahi kuuliza hapa kuhusu namna ya kunasa mtandao was 3g uwapo ktk eneo la 2g. Leo baada ya kufanya utaft was muda nimegundua yafuatayo kwanza.
Vifaa vinavyohitajka
1.simu ya android yenye uwezo wa 3g na setting ya roaming
2.laini ya voda yenye rangi ya bluu. Achana na nyekundu. Ukikosa tumia nyeupe yenye kichip kidogo ndam take
2.eneo la 2g
Njia za kunasa 3g
1. Kwanza weka chip yako kwenye cm kisha washa. Nenda kwenye setting~more~mobile netwek~ tick roaming
2. Nenda kwenye settings ~more~ mobile netwek~netwek mode~ tick 3g only
Kisha iache muda utasearch na juu ya minara itaandika R. Ukiona hivyo ujue tayari imefanya searching ya 3g.
4. Unachotakiwa sasa ni ku-enable data. Kwa enable data itaandika juu ya minara ya netwek RH. Now enjoy ur 3g high speed. Atayefanikiwa akili hapa ili kuona kwa namna gani tumefanikiwa. Usisahau kutujulisha kama umefanikiwa. Tayari elimu hii imenisaidia Mimi na wadau wengine watatu. Ni time yako kufurahia 3g internet kwa kasi hadi ya 1mb/s

Whats special na line za blue?

Kwa nn Line za blue na sio nyekundu
 
Sasa niko confused. Which is which smart unapata 3g nchi nzima na baadaye Hanna 3g ya smart Dar es salaam. Which is which? Wataalam dadavueni!
 
Sasa niko confused. Which is which smart unapata 3g nchi nzima na baadaye Hanna 3g ya smart Dar es salaam. Which is which? Wataalam dadavueni!

natumia smart niko kgambon yani hakuna kitu speed mbovu hakuna 3g ..japo naskia et wna 3g nchi nzima..vp kuhusu kgambon hapa mpaka posta pia smart wnazingua .

smart una 3g nchi nzima kasoro dar kuna vitetesi tu kuwa huu ni mtandao wa nchi/tcra/whatever haumilikiwi na haya makampuni ya simu so wao wanafanya kama kukodi tu. na hata ungekuwa na 3g dar ingekua haina maana sababu dar kuna mamia ya kampuni za internet wacha watu wa mikoa mingine na wao wapate internet yenye kasi.
 
kwaiyo mikoan huko mambo si mabaya..hapa dar nako mitandao haitulii .
 
Njia rahisi ni pale ambapo hupati network nzuri, unabadili settings za automatic au zilizo 2G/3G kwenye simu yako na kui-set 3G peke yake.

Hauna haja ya kubadilisha kadi wala nini.
 
Je,hii ni kwa watumiaji wa smartphones tu,au hata modem?
Nauliza hivi kwa kuwa mara kadhaa nimekuwa nikijaribu kuset modem yangu ya voda kwenye WCDMA ONLY,
lakini ndio inakuwa haisomi kabisa..hapo ninazungumzia maeneo ya Tukuyu,Mbeya..
Au hii imekaaje jamani?
 
Dadavua vizuri ...fox. Kwa ushauli wako wale wa-location ya 2G watalia na kusaga meno . Maana wataambulia offline MODE..,Vp JS hawajambo.?
 
Je,hii ni kwa watumiaji wa smartphones tu,au hata modem?
Nauliza hivi kwa kuwa mara kadhaa nimekuwa nikijaribu kuset modem yangu ya voda kwenye WCDMA ONLY,
lakini ndio inakuwa haisomi kabisa..hapo ninazungumzia maeneo ya Tukuyu,Mbeya..
Au hii imekaaje jamani?

jaribu kwenye setting za network chagua manuall then search network, ukiona kuna mtandao huuelewi uchague huo huo mara nyingi zinakuwa ni namba au tritel
 
kwaiyo mikoan huko mambo si mabaya..hapa dar nako mitandao haitulii .

fanya research kila mahali kunakuwa na mitandao ipo slow na mingine ipo fast. pia kama una hardware za zamani inabidi uzi upgrade
 
jaribu kwenye setting za network chagua manuall then search network, ukiona kuna mtandao huuelewi uchague huo huo mara nyingi zinakuwa ni namba au tritel

OK.
Natarajia kwenda huko hivi karibuni..nitajaribu nione.
Maana dah,nikiwa mitaa ile huwa napata shida sana kiukweli.
Yaani mambo hayaendi kabisa.
 
Kiukweli wadau cjui kwa nn main nyekundu haikubali. Nimejarib Mara nyng imekataa kabsa kwa watu tofauti tofauti
 
OK.
Natarajia kwenda huko hivi karibuni..nitajaribu nione.
Maana dah,nikiwa mitaa ile huwa napata shida sana kiukweli.
Yaani mambo hayaendi kabisa.

Interestingly,nimejaribu kufanya manual scan,imeniletea mitandao mitatu tu:

Vodacom(3G) Registered,
Tigo(3G) Unregistered
celtel(3G) Unregistered

Hapa nipo Moshi mjini.

Je,ndo kusema huku hakuna hiyo kitu hakuna,au?
 
yap haupo hapo
 
Back
Top Bottom