Enjoy 3g internet kwenye eneo lenye 2g

Enjoy 3g internet kwenye eneo lenye 2g

kaka huo mtandao upo nchi nzima na unaandika namba au tritel ndio jina lake na sasa unatumiwa na line za bol/smart wala msipate shida nunueni tu line za smart mtapata 3g hadi huko vijijini

Chief una maanisha hiyo smart nchi zima inatumia minara ya makampuni mengine au? Km ndio mbona mikoa km tanga hata tetesi ya uwepo wa smart hakuna na hizo line zao sijapata kuzisikia
 
Chief una maanisha hiyo smart nchi zima inatumia minara ya makampuni mengine au? Km ndio mbona mikoa km tanga hata tetesi ya uwepo wa smart hakuna na hizo line zao sijapata kuzisikia

tanga mimi natumia smart toka unaitwa bol upo japo speed yake ya kawaida kama 1mbps
 
wakuu sababu za smart kua nchi nzima ni teknologia wanayotmia....hawahitaji minara.wao wana satellite mobile communication.wanatumia satellite na few ground stations hvyo pia inakua rahis ku cover nchi.
 
wakuu sababu za smart kua nchi nzima ni teknologia wanayotmia....hawahitaji minara.wao wana satellite mobile communication.wanatumia satellite na few ground stations hvyo pia inakua rahis ku cover nchi.

technology ni yao au ni ya nchi wanakodisha? sababu nakumbuka kuna wakati waya za internet kuna meli ilizikata kukawa natatizo la net hapa bongo vodacom walikuwa wanapatikana kwa same network
 
Wakuu mm nina iphone 4s yani imekuwa ni shida sna ninapoenda maeneo ya mbali na mjini yan net inakuwa ni shida sana. Mwenye msaada jaman
 
Kwa Mara nyingine wadau was android napenda kuchangia elimu japo ndogo kuhusu mtandao was 3g has a kwa watumiaj was mtandao was voda. Najuanakumbuka niliwahi kuuliza hapa kuhusu namna ya kunasa mtandao was 3g uwapo ktk eneo la 2g. Leo baada ya kufanya utaft was muda nimegundua yafuatayo kwanza.
Vifaa vinavyohitajka
1.simu ya android yenye uwezo wa 3g na setting ya roaming
2.laini ya voda yenye rangi ya bluu. Achana na nyekundu. Ukikosa tumia nyeupe yenye kichip kidogo ndam take
2.eneo la 2g
Njia za kunasa 3g
1. Kwanza weka chip yako kwenye cm kisha washa. Nenda kwenye setting~more~mobile netwek~ tick roaming
2. Nenda kwenye settings ~more~ mobile netwek~netwek mode~ tick 3g only
Kisha iache muda utasearch na juu ya minara itaandika R. Ukiona hivyo ujue tayari imefanya searching ya 3g.
4. Unachotakiwa sasa ni ku-enable data. Kwa enable data itaandika juu ya minara ya netwek RH. Now enjoy ur 3g high speed. Atayefanikiwa akili hapa ili kuona kwa namna gani tumefanikiwa. Usisahau kutujulisha kama umefanikiwa. Tayari elimu hii imenisaidia Mimi na wadau wengine watatu. Ni time yako kufurahia 3g internet kwa kasi hadi ya 1mb/s
Mie nimejaribu lakini imegoma labda ningetumia hio laini ya blue. Nimefka mpaka kwenye RH lakini ndo imegomea hpo
 
Speed haijaongezeka Mangi. Cheki kama inasalio la bando. Nachojua utapata speed mzur kama umepata RH. Komaaa it a search tu. Kiukwel me npo nje ya kasulu naenjoy mno kas ya net tofaut na mwanzo
 
Back
Top Bottom