Hammy Js
JF-Expert Member
- Sep 20, 2017
- 3,052
- 3,272
Ana matawi mengi, ingia Google andika ras simba utaona contact zakeMaeneo yapiii
Ana matawi mengi, ingia Google andika ras simba utaona contact zakeMaeneo yapiii
Ndo mana unaona wanajua😂😂😂Sasa wao wananisema mm cjuii
kama misamiati ipo we teleza tu broken, utazoea mbele kwa mbele, huwa kinakuja chenyewe kadri unajizoesha kuongea na kusikiliza wengine wakiongea kiingereza mfano movies, kusoma machapisho ya kiingereza nkMisamiatii ipo mkuu wanguuu