England yaishutumu Urusi kwa udukuzi Duniani

Inaonesha ndg yangu mambo mengi san ya hizi taaluma huwa zinakupitia kushoto,ama hujui kabisa,au hauko informed,yaani ni hivi kwa miaka mingi sana Urusi ya zamani USSR KGB yao na Urusi ya sasa wamekua kwa miaka mingi sana wakiichezesha kwata katika mambo ya ujasusi nchi za US,UK,FR West German n.k.
mfano mdogo tu ni kwamba iliwahi kutokea aibu ya karne kwa jasusi mmoja wa Urusi sikumbuki ni KGB ama GRU aliwahi kuwa Mkuu wa shirika la ujasusi la M16.
Majasusi wengi sana wa KGBwalikua wakiishi US na kufanya kazi kama maofisa wa CIA,Ushahidi ninao.
Jasusi mmoja wa KGB aliwahi kuishangaza jumuiya ya majasusi wa US kwa kuwa aliweka rekodi kwa kuwakamata kwa wingi majajusi wa US.Ushahidi upo mkuu.
Wewe Mmarekani wa kwa mfuga mbwa kama unawaona Warusi ni chai ya rangi wenzako Wamarekani wa Los Angels wanawaona ni pasua kichwa.
hehehe
 
Warusi ni chai ya rangi kabisa, kila wakidukua wanajulikana, hii ni wazi wanaomshtukia wako vizuri zaidi yake.
Hivi karibuni Hatusikii habari CIA analalamikiwa kudukua, warusi wa JF wanafikiri CIA wako likizo wanakunywa chai na vitumbua! hapana bali wanadukua kila siku Ila tofauti ni kwamba wako smart inakuwa ngumu kuwashtukia, sio kama GRU wanadukua kiboya
Mrussi utamaduni wake Ni kukaa kimya...anakunyonga kimya kimya, sio vikaragosi wenu kutwa kukimbilia kushtaki BBC,
 
Kwa hiyo mrus ni mmbea

Anachabo hadi trump anavyokwichi kwichi

Mi ndo nlivyoelewa kama we umeelewa kivingine sawa sikubishii
 
Inaonesha ndg yangu mambo mengi san ya hizi taaluma huwa zinakupitia kushoto,ama hujui kabisa,au hauko informed,yaani ni hivi kwa miaka mingi sana Urusi ya zamani USSR KGB yao na Urusi ya sasa wamekua kwa miaka mingi sana wakiichezesha kwata katika mambo ya ujasusi nchi za US,UK,FR West German n.k.
mfano mdogo tu ni kwamba iliwahi kutokea aibu ya karne kwa jasusi mmoja wa Urusi sikumbuki ni KGB ama GRU aliwahi kuwa Mkuu wa shirika la ujasusi la M16.
Majasusi wengi sana wa KGBwalikua wakiishi US na kufanya kazi kama maofisa wa CIA,Ushahidi ninao.
Jasusi mmoja wa KGB aliwahi kuishangaza jumuiya ya majasusi wa US kwa kuwa aliweka rekodi kwa kuwakamata kwa wingi majajusi wa US.Ushahidi upo mkuu.
Wewe Mmarekani wa kwa mfuga mbwa kama unawaona Warusi ni chai ya rangi wenzako Wamarekani wa Los Angels wanawaona ni pasua kichwa.
Double agent ni kitu cha kawaida kutokea. It has now been the part of espionage arena.

Na wapo wengine tuu!
 
Kuna siku Urusi atawarudisha wamarekani na washirika wake kwenye early stone age
 
Sinema hilo, sample zenyewe bado zipo lab zinachunguzwa, hapo anatafutwa Syria achapwe. Kama unabisha subiri kama utawaona hao Majasusi. Hamna kitu kitendo alichofanya US, UK na France cha kuishambulia Syria bila kusubiri tume ya UN inayoshughulika na matumizi ya silaha za kikemikali ni cha kinyama na ndio maana Canada na Germany walikataa kuungana nao. UK hapo anatafuta kuungwa mkono akakinukishe tena Syria.Alafu kama hujui shambulio la kwanza pale Syria UK ndiye aliyehusika na juzi tu hapa gazeti la independent la UK, limeandika Majasusi wa M16 wanaandaa shambulio lingine la kikemikali Syria, nia yao wamframe Russia na Syria.
US senator claims Britain's MI6 is planning a fake chemical weapons attack on Syria
Na ndo maana Biden kaidhijisha mashambulizi dhidi ya syria muda mfupi baada ya kuingia madarakani
 
Back
Top Bottom