Majasusi 4 wa GRU walidakwa wakijaribu kudukua WiFi ya Shirika la Waangalizi la Chemical Duniani,huko Uholanzi. Hii ni breaking news imetoka muda huu BBC News.Inawezekana kabisa GRU ni bora kuliko CIA na FBI
Majasusi 4 walidakwa Uholanzi Mwezi April mwaka huu wakijaribu kudukua Ofisi za OWPC zile sample za sumu zilipopelekwa. Hii ni breaking news iliyotoka Uholanzi jioni hii.Na wenyewe wanajua propaganda kuhusu Urussi hazimtishi Mrusi....ila ni kwa ajili ya kutuburuza sisi wa ulimwengu wa tatu...tusioujua mchezo kiundani...
Rejea lile tukio la yule jasusi aliechomwa sindano ya sumu uingereza.....pamoja na mbwembwe zote za Mwingereza na mwenzake USA....Mrusi alijibu tu sihusiki ......Kama vipi tuunde timu ya wachunguzi toka pande zote mbili iliyo huru .....Mpaka leo Mwingereza kimya.
Hawa wamagharibi wanatuhadaa sana wanadunia...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ungeandika wamedakwa basi sio walidakwa hii itakuwa sio breaking newsMajasusi 4 wa GRU walidakwa wakijaribu kudukua WiFi ya Shirika la Waangalizi la Chemical Duniani,huko Uholanzi. Hii ni breaking news imetoka muda huu BBC News.
Trump yuko busy na hapo Malawi kwa Sasa...kamtuma mama hapo.Ndio maana mwisho ameweka pia waliingilia uchaguzi wa marekani ili waungwe mkono na trump
Breaking news sababu kitendo kilipofanyika Dunia haikujua,na pia sakata lenyewe bado halijaisha.[emoji3] [emoji3] [emoji3] ungeandika wamedakwa basi sio walidakwa hii itakuwa sio breaking news
Mbabe gani uchumi wa manati ?!Tukisema Uruss ndio mbabe wa Dunia mnabisha.
Waongo wanataka kuharibu uchunguzi wa tume ya UN, iliyoenda kuchunguza Syria, mpaka sasa UK wanajua watachemka. Source yenyewe BBC uongo mtupu.Majasusi 4 walidakwa Uholanzi Mwezi April mwaka huu wakijaribu kudukua Ofisi za OWPC zile sample za sumu zilipopelekwa. Hii ni breaking news iliyotoka Uholanzi jioni hii.
Source:BBC World News
Waongo kivipi na wakati watu wamekamatwa red-handed kabisa.Waongo wanataka kuharibu uchunguzi wa tume ya UN, iliyoenda kuchunguza Syria, mpaka sasa UK wanajua watachemka. Source yenyewe BBC uongo mtupu.
Sinema hilo, sample zenyewe bado zipo lab zinachunguzwa, hapo anatafutwa Syria achapwe. Kama unabisha subiri kama utawaona hao Majasusi. Hamna kitu kitendo alichofanya US, UK na France cha kuishambulia Syria bila kusubiri tume ya UN inayoshughulika na matumizi ya silaha za kikemikali ni cha kinyama na ndio maana Canada na Germany walikataa kuungana nao. UK hapo anatafuta kuungwa mkono akakinukishe tena Syria.Alafu kama hujui shambulio la kwanza pale Syria UK ndiye aliyehusika na juzi tu hapa gazeti la independent la UK, limeandika Majasusi wa M16 wanaandaa shambulio lingine la kikemikali Syria, nia yao wamframe Russia na Syria.Waongo kivipi na wakati watu wamekamatwa red-handed kabisa.
Awajadakwa mkuu ila wamefukuzwa kwa sababu inaonekana wao ndiyo watendaji wakuu wa inshu nzima.na pia wamemuita na balozi wa Urusi ili wapate maelezo vizuriMajasusi 4 wa GRU walidakwa wakijaribu kudukua WiFi ya Shirika la Waangalizi la Chemical Duniani,huko Uholanzi. Hii ni breaking news imetoka muda huu BBC News.
Ubishi wa nini Mkuu,hao walikamatwa wakiwa ndani ya gari ñje ya Makao Makuu ya OWPC wakiwa na simu na vifaa vingine vya kuhack WiFi ya OWPC. Hawa hapaAwajadakwa mkuu ila wamefukuzwa kwa sababu inaonekana wao ndiyo watendaji wakuu wa inshu nzima.na pia wamemuita na balozi wa Urusi ili wapate maelezo vizuri
Kwa hiyo kwa akili zako timamu unaamini kabisa US Senator anaweza akaongea ujinga na uzushi kama huo wa kwenye hiyo habari?Sinema hilo, sample zenyewe bado zipo lab zinachunguzwa, hapo anatafutwa Syria achapwe. Kama unabisha subiri kama utawaona hao Majasusi. Hamna kitu kitendo alichofanya US, UK na France cha kuishambulia Syria bila kusubiri tume ya UN inayoshughulika na matumizi ya silaha za kikemikali ni cha kinyama na ndio maana Canada na Germany walikataa kuungana nao. UK hapo anatafuta kuungwa mkono akakinukishe tena Syria.Alafu kama hujui shambulio la kwanza pale Syria UK ndiye aliyehusika na juzi tu hapa gazeti la independent la UK, limeandika Majasusi wa M16 wanaandaa shambulio lingine la kikemikali Syria, nia yao wamframe Russia na Syria.
US senator claims Britain's MI6 is planning a fake chemical weapons attack on Syria
Sasa wewe senator anazani mwehu kuongea hivi, pili hilo gazeti ni la UK kama lingekuwa labda la Russia nisingeamini . Alafu wewe mwenyewe hujiulizi kwa nini Canada na Germany walijitoa kushirikiana na US kumpiga Syria, unazani nao wajinga.Hiyo habari yako source BBC ndio maana nimekuambia habari yako feki, BBC ndio waliokuwa mbele kueneza propaganda za uongo kuhusu Iraq na Libya na ndio maana Germany akawambia hataki ya Iraq yajirudie. Iraq vita iliisha lkn hamna hata silaha moja ya kikemikali iliyokamatwa.Kwa hiyo kwa akili zako timamu unaamini kabisa US Senator anaweza akaongea ujinga na uzushi kama huo wa kwenye hiyo habari?
Uchumi ndio nini wewe ukitaka uogopwe katika nchi yako kuwa na jeshi imara na vifaa imaraMbabe gani uchumi wa manati ?!
Hapo wamestuka watu washadukua siku nyingi mnoWarusi ni chai ya rangi kabisa, kila wakidukua wanajulikana, hii ni wazi wanaomshtukia wako vizuri zaidi yake.
Hivi karibuni Hatusikii habari CIA analalamikiwa kudukua, warusi wa JF wanafikiri CIA wako likizo wanakunywa chai na vitumbua! hapana bali wanadukua kila siku Ila tofauti ni kwamba wako smart inakuwa ngumu kuwashtukia, sio kama GRU wanadukua kiboya