Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,004
- 9,263
Mbona sijaona kosa lolote lile alilofanya civil Engineer hapo,
Kama ni mtu ni structural Engineer yeye anajua alignment ya load au load inayoact sehemu husika...
Tatizo la watu ambao siyo maengineer bali wana experience na site hufanya kazi kwa mazoea...
Yaan mnajaribu sana vitu, Tafadhali heshimu fani husika mkuu, niliwahi kuandika humu juu ya watu kuheshimu taaluma
Sasa Civil Engineer hapo anahusikaje?
Alikutenda nini?
Wewe ni fundi kutoka veta sio?
fundi mchundo anapojifanya mjuaji kuliko engineer
Science haidanganyi haihitaji mazoea
Sijawahi kuziona, kwa hiyo ni kosa kwa civil Engineer? Kuona cantilever kama zile ni requirements za clientChukulia mfano Uwanja wa AC/INTER Milan zile cantiliver zaidi ya Metre 30 hapa bongo umewahi ziona???
Bongo hakuna steel structure? Hivi vitu unatoa wapi mkuu? Ile mkuki malls ni steel structure, nayo imetoka Kenya siyo?Sio kweli ndugu yangu, Tanzania bado sana hawa watu wanahitaji kufanya practical
nakupa mfno: pale St joseph kuna steel structural ila bongo hii hakuna alieweza kudesign walitoa structural Kenya
What is Civil Engineering? Huenda tuanzie hapoHapa Utaona Ma engineer wanavyoteteana,hahahaa wengine wanatetea ili wazidi kuwapoteza Wenzao....Ukweli Utabaki Pale Pale,Ndio Maana Nowadays Nyumba tuu za Kawaida maeneo ya Kijichi,Kinyerezi,Mbweni,Ununio nk Unakuta nyumba Imejengwa hatari Nzuri sana tena na MTU ambae sio hata Engineer,sasa MPE kazi Engineer uone kitakachotokea na Cost juu zaidi,Haya mambo yanahitaji More Experiences, na Sio Tuu upande wa Civil hata Fani nyingine kama Umeme,Mechanical,
Unaweza kuta Electrical technician anajua zaidi kuliko Engineer,Nenda Viwandani Utajua naongea Nini,