Engineering haina issue kwa sasa

Engineering haina issue kwa sasa

Kwa kwenda mbali zaidi hata madaraja yaliyojengwa na wazungu yakikaribia kubomoka hawana habari wanakula bata tu hadi Waziri mkuu au Rais aende kukagua ndio wanashtuka.
Injinia unataka kukaa kwenye viyoyozi ili iweje?

Kwanza mna faida gani kwenye hili Taifa wakati hata kutengeneza barabara ya vumbi hamuwezi mpaka msaidiwe na wachina!

Kila field ya engineering unakuta michina na mizungu tu!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu haupo mbali sana na ukweli.
Mimi nilichungulia hilo kitambo sana ndio maana nikagundua dili ni kusaka makampuni ya wageni yanayoingia Bongo nikawa sitaki kuomba kazi serikalini except TPDC,TPA na BOT.
Nilikuwa nikiwaona Wahandisi na Mafundi wa Temesa walivyo nikawa nawaonea huruma sana.
Mkuu ni vigumu sana kum pridict mahali alipo mtu wa jamii forum, ni vigumu sana. Mimi sipo katika hiyo mikoa unayo i predict. Na pia sio kwamba nina maisha magumu kama unavyo fikiria. Ila nimependa kuwaeleza vijana real situation iliyopo bongo. Bongo saivi inahitaji uwe na Maarifa mengi. Uwe na vyeti vingi ndio unatoboa na kuwa na maisha mazuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi bongo kuna watu wenye passion na ugunduzi

Wahandisi wa Civil, Wataalan wa Afya, MA IT n.k

Mi sijaona mwenye passion, wote ni wa kudesa tu
Tajiri Mapesa, Aisee kama unasoma engineering kuwa boss.. basi umekosea fani.
Engineer ni mtendaji.. mtekelezaji.. kwa wale wenye pashen ya kuvumbua na kutengeneza mambo fulani engineering inawafaa.

Kama ingekuwa haina ishu.. leo hii nafasi za kazi zingekuwa hazitangazwi kwa ma engineer.



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom