mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,512
- 14,610
Njoo inbox unielezee CV yako halafu nitapata kitu cha kukushauri.MKUU tusaidiane connection kama unaweza hata kwenye hizo kampuni ndogo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo inbox unielezee CV yako halafu nitapata kitu cha kukushauri.MKUU tusaidiane connection kama unaweza hata kwenye hizo kampuni ndogo tu
mkuu nishauri namimiNjoo inbox unielezee CV yako halafu nitapata kitu cha kukushauri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo kwenye Engineering kwa miaka 18 ila kuna kitu hujakijua tofauti ya know how and know why. Ama aliyesoma Bsc in Xxxxx Engineering na aliyesoma B.E in Xxxx Engineering.Nakukatalia ndugu. Binafsi nipo kwenye sector ya Engineering huu ni mwaka wa 18 sasa naelewa vizuri sana. Huwa kuna gap fulani ambalo wote mkiwa kazini ndio utaliona hasa kwenye kutoa solution.
Sent using Jamii Forums mobile app
we'll be in touchWakuu nimeshituka saivi engineering sio issue tena kwasababu tutaishia kutumwa tu huku watu wa accounting, finance, procurement, HR, wakina madam Vero wanaingia ofisini na vipochi vimejaa lip sticks, na perfume na kuishia kukaa kwenye viyoyozi na kupokea, visimu vya mezani huku engineer anakuja na bonge la gubegi gumejaa PPE. (Buti kubwa, overall na liheliment).
Wakuu kiukweli ni matusi tupu kukesha kuwapelekea CV zetu HRS tulio wafunza hesabu olevel na advance wao waliwahi kulala sisi tukakesha na misuli. Leo ndio wanapima mishahara yetu.
Mbaya zaidi ukienda kwenye makampuni wanao pack vigari maofisini ni watu wa HR, ACCOUNTING AND FINANCE NA WATU WA PROCURE. Inauma sana wakuu.
Hahaha eti kuna kitu hujakijua. Unuhakika?Upo kwenye Engineering kwa miaka 18 ila kuna kitu hujakijua tofauti ya know how and know why. Ama aliyesoma Bsc in Xxxxx Engineering na aliyesoma B.E in Xxxx Engineering.
Kuna mmoja anafunzwa technical know how and mwingine technical know why.
Ukijua kutofautisha kidogo itasaidia
Engineering ni pana. Sio tu kwenye barara.. kuna mooala wa electrical.. mechanical.. telecom.. wote hao ni certified engineers. Sio tu wa kujenha barabaraInjinia unataka kukaa kwenye viyoyozi ili iweje?
Kwanza mna faida gani kwenye hili Taifa wakati hata kutengeneza barabara ya vumbi hamuwezi mpaka msaidiwe na wachina!
Kila field ya engineering unakuta michina na mizungu tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na uko kampuni gani. Wapo ambao wanalipa mshahara wa ulweli. Wengine wa kawaida tuTatizo si mshahara...tatizo ni marupurupu
Najua.Engineering ni pana. Sio tu kwenye barara.. kuna mooala wa electrical.. mechanical.. telecom.. wote hao ni certified engineers. Sio tu wa kujenha barabara
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesomea chuo gani mkuuMIE ni nahitaji Engineer Wa kunipa uzoefu yani anifundishe kazi awe role model wangu. Discipline ni Civil Engineer. Nipo tayari kujigharalimia gharama zote nachotaka ni kufundishwa kazi tu na si kingine. Sijaongezewa mktaba kisa inaonekana MIE kilaza Sina uzoefu sijui kazi. Imeniumaje ila Aliyeniumba anajua kesho yangu
Ofcourse Engineering zipo nyingi kuna soft and hard engineering. Mtu kama Biomedical engineer hana kazi ngumu kivileeee,Engineering ni pana. Sio tu kwenye barara.. kuna mooala wa electrical.. mechanical.. telecom.. wote hao ni certified engineers. Sio tu wa kujenha barabara
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo alikudanganya alafu yupo taasisi mbaya ndio sababu mhasibu wa taasisi kama EWURA sio mtu wa kawaidaKuna rafiki yangu ni Mhasibu mkuu msaidizi wa TANROADS mkoa fulani...aliniambia angejua Engineering ni deal kiasi hiki angesoma mpaka technician tu. Hata asingejisumbua kusoma mpaka kua Engineer.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akiendelea kunifuatilia na ndamtaja na kulipua madudu yake yote. Shit risasi paa ameniboa sana huyu.Nani huyo mtaje!
Upo kwenye Engineering kwa miaka 18 ila kuna kitu hujakijua tofauti ya know how and know why. Ama aliyesoma Bsc in Xxxxx Engineering na aliyesoma B.E in Xxxx Engineering.
Kuna mmoja anafunzwa technical know how and mwingine technical know why.
Ukijua kutofautisha kidogo itasaidia
Wakuu nimeshituka saivi engineering sio issue tena kwasababu tutaishia kutumwa tu huku watu wa accounting, finance, procurement, HR, wakina madam Vero wanaingia ofisini na vipochi vimejaa lip sticks, na perfume na kuishia kukaa kwenye viyoyozi na kupokea, visimu vya mezani huku engineer anakuja na bonge la gubegi gumejaa PPE. (Buti kubwa, overall na liheliment).
Wakuu kiukweli ni matusi tupu kukesha kuwapelekea CV zetu HRS tulio wafunza hesabu olevel na advance wao waliwahi kulala sisi tukakesha na misuli. Leo ndio wanapima mishahara yetu.
Mbaya zaidi ukienda kwenye makampuni wanao pack vigari maofisini ni watu wa HR, ACCOUNTING AND FINANCE NA WATU WA PROCURE. Inauma sana wakuu.
Mkuu ni vigumu sana kum pridict mahali alipo mtu wa jamii forum, ni vigumu sana. Mimi sipo katika hiyo mikoa unayo i predict. Na pia sio kwamba nina maisha magumu kama unavyo fikiria. Ila nimependa kuwaeleza vijana real situation iliyopo bongo. Bongo saivi inahitaji uwe na Maarifa mengi. Uwe na vyeti vingi ndio unatoboa na kuwa na maisha mazuriHapo kwenye bold, Hii ni Iringa,Njombe au Ruvuma lazima.
Pole mkuu endelea kupambana ipo siku utatoboa.
There is no such a thing as soft na hard engineering.Ofcourse Engineering zipo nyingi kuna soft and hard engineering. Mtu kama Biomedical engineer hana kazi ngumu kivileeee,
It's trueThere is no such a thing as soft na hard engineering.
Engineering is about creativity then unai teansfer from papers into real.world.
Hao bio medical ndio wako responsible kutengeneza bifaa vya mahospitalini.. mashine za mahospital as well as kurepair.
Kwa wenzetu huko nje hawa jamaa wanatengeneza hadi artificial organs..
Hawana kazi ngumu kwa vile hapa nchin sio sana kivile.. lakin kwa wenzetu nchi za nje hawa washkaji wanapiga kazi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app