Engineering haina issue kwa sasa

Engineering haina issue kwa sasa

Wakuu nimeshituka saivi engineering sio issue tena kwasababu tutaishia kutumwa tu huku watu wa accounting, finance, procurement, HR, wakina madam Vero wanaingia ofisini na vipochi vimejaa lip sticks, na perfume na kuishia kukaa kwenye viyoyozi na kupokea, visimu vya mezani huku engineer anakuja na bonge la gubegi gumejaa PPE. (Buti kubwa, overall na liheliment).

Wakuu kiukweli ni matusi tupu kukesha kuwapelekea CV zetu HRS tulio wafunza hesabu olevel na advance wao waliwahi kulala sisi tukakesha na misuli. Leo ndio wanapima mishahara yetu.

Mbaya zaidi ukienda kwenye makampuni wanao pack vigari maofisini ni watu wa HR, ACCOUNTING AND FINANCE NA WATU WA PROCURE. Inauma sana wakuu.

Kaka hujasema utaishia kutumwa wapi ?

Kama stahiki kutumwa mambo ya kazi yako kuna shida gani mzee ?
 
Tajiri Mapesa, Aisee kama unasoma engineering kuwa boss.. basi umekosea fani.
Engineer ni mtendaji.. mtekelezaji.. kwa wale wenye pashen ya kuvumbua na kutengeneza mambo fulani engineering inawafaa.

Kama ingekuwa haina ishu.. leo hii nafasi za kazi zingekuwa hazitangazwi kwa ma engineer.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hawa ma engineer wa siku hizi sijui wana shida gani ? Una kuta hapo mdau anajilinganisha na hao watu alio wataja hapo juu, wakati kiuhalisia fani ya Uhandisi kukaa ofisini ni kwa dharura na kutumwa na aliye kuzidi sio jambo baya kabisa.
 
Hao wanaojisifu hivyo ndo mainjinia uchwara injiania hawezi jisifu kwa kutokwenda site...Engineer ni problem solver sio Relaxer

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kaka hujasema utaishia kutumwa wapi ?

Kama stahiki kutumwa mambo ya kazi yako kuna shida gani mzee ?
Mimi nataka kutuma wengine, mainjinia kibao saivi wanashift from engineering side to management na maisha yao yana badirika totally to be soft
 
Vijana itakuwa hawafundishwi "Engineering Ethics" siku hizi.
Problem solver bongo? Tanzania hatu practice really engineering mkuu, kama tungekuwa tuna practice tusingekua tunaona miradi yetu inajengwa na wazungu.
 
Problem solver bongo? Tanzania hatu practice really engineering mkuu, kama tungekuwa tuna practice tusingekua tunaona miradi yetu inajengwa na wazungu.
Miradi kufanywa na wazungu haimaanishi kwamba sisi hatufanyi shughuli za Kihandisi, maneno yako haya yanaonyesha wewe bado mchanga katika, hii filed ndio maana unao shida kutumwa.

Iko hivi, miradi ambayo inafanywa na watu wa nje hii inaendana sambamba na uzoefu na maendeleo ya nchi husika, kwa maana sisi tumeachwa katika uzoefu na nchi za, nje na sisi bado tunakuwa na katika field ya Uhandisi huwezi kufanyia kazi kitu ambacho hujakifanyia kazi wala huna uzoefu nacho. Hapa ndip tulipo achwa. Ila wahandisi wapo na wanafanya shughuli za kihandisi kulingana na viwango vyao na uzoefu walio nao. Watu wana buni, wana sanifu na wanasimamia miradi na inakwenda vizuri.

Sasa ushauri wangu tu kwako, kama kweli upo katika field ya uhandisi, basi hakikisha unajua kwanza kazi, kinyume na hapo utakuwa mhandisi jina tu usie na tija yoyote ya kikazi katika fani yqko.
 
Baadhi ya ma HR ni makamasi tu kichwani hasa huyu HR flani ivi yupo kwenye shirika moja ivi. Napenda aje kufukuzwa kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio vizuri kuombea mwenzako afukuzwe kazi. Ana familia pia. Assume wewe ndio unafukuzwa kazi.
Mtu kama huyo ni kumuandikia barua ya siri (bila kuwa na jina lako) na kumueleza mapungufu yake na ajirekebishe kama huwezi kuongea nae directly.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nililiangalia jengo la NiDa Morogoro lililojengwa na mainjinia kadhaa chini ya mkandarasi toka China kisha nikaliangalia jengo langu la ghorofa lililojengwa na fundi wa darasa la saba nikajiuliza kama kweli bado tunahitaji kuwa na engineers!
 
Akisoma sana anaweza kuwa manager au cordinator wa mradi au kampuni ila ni bahati sana
Tajiri Mapesa, Aisee kama unasoma engineering kuwa boss.. basi umekosea fani.
Engineer ni mtendaji.. mtekelezaji.. kwa wale wenye pashen ya kuvumbua na kutengeneza mambo fulani engineering inawafaa.

Kama ingekuwa haina ishu.. leo hii nafasi za kazi zingekuwa hazitangazwi kwa ma engineer.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi
Miradi kufanywa na wazungu haimaanishi kwamba sisi hatufanyi shughuli za Kihandisi, maneno yako haya yanaonyesha wewe bado mchanga katika, hii filed ndio maana unao shida kutumwa.

Iko hivi, miradi ambayo inafanywa na watu wa nje hii inaendana sambamba na uzoefu na maendeleo ya nchi husika, kwa maana sisi tumeachwa katika uzoefu na nchi za, nje na sisi bado tunakuwa na katika field ya Uhandisi huwezi kufanyia kazi kitu ambacho hujakifanyia kazi wala huna uzoefu nacho. Hapa ndip tulipo achwa. Ila wahandisi wapo na wanafanya shughuli za kihandisi kulingana na viwango vyao na uzoefu walio nao. Watu wana buni, wana sanifu na wanasimamia miradi na inakwenda vizuri.

Sasa ushauri wangu tu kwako, kama kweli upo katika field ya uhandisi, basi hakikisha unajua kwanza kazi, kinyume na hapo utakuwa mhandisi jina tu usie na tija yoyote ya kikazi katika fani yqko.
Mkuu ushauri wako kweli mzuri, tatizo langu mimi nipo after money, naangalia sana pesa kama
Kuna Engineer ni form six na hana cheti kingine? Makubwa haya

Sent using Jamii Forums mobile app
Anamaanisha mtu aliye pitia form six akisha soma chuo anakua na cheti kimoja tu cha degree lkn aliye anzia diploma then akaenda degree, anakua na vyeti viwili cha diploma na cha gree Sasa probability ya kupata kazi kwa mtu aliyepitia diploma then degree inakua kubwa zaidi kwasababu anakuwa na uwanja mpana wa kuapply kazi. Zikitoka kazi za diploma ataapply pia zikitoka za degree ataapply pia.
 
Kuna Engineer ni form six na hana cheti kingine? Makubwa haya

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaelewa Kuna engineers ambao wanaenda kusoma engineering baada ya kumaliza kidato cha sita 4 years hawa wanaprofessional kama engineers two.

Lakini Kuna engineers ambao baada kumaliza kidato cha nne wakaenda diploma ,then wakaenda degree. Hawa wanavyeti viwili vya professional. Kama technician na engineer kwa hiyo wana uwanja mpana sababu wanavyeti viwili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa kunielewa
Mimi

Mkuu ushauri wako kweli mzuri, tatizo langu mimi nipo after money, naangalia sana pesa kama

Anamaanisha mtu aliye pitia form six akisha soma chuo anakua na cheti kimoja tu cha degree lkn aliye anzia diploma then akaenda degree, anakua na vyeti viwili cha diploma na cha gree Sasa probability ya kupata kazi kwa mtu aliyepitia diploma then degree inakua kubwa zaidi kwasababu anakuwa na uwanja mpana wa kuapply kazi. Zikitoka kazi za diploma ataapply pia zikitoka za degree ataapply pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nataka kutuma wengine, mainjinia kibao saivi wanashift from engineering side to management na maisha yao yana badirika totally to be soft
Hao si wengi. Na engineer akifika level ya management anakuwa seniour engineer.. still bado field lazima afike.
Engineer sio kazi ya ku relax.. ni kwa wale wenye mapenz na kazi za kutokukaa ofcn.
Kama unataka ya kurelax.. engineering is not for you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Problem solver bongo? Tanzania hatu practice really engineering mkuu, kama tungekuwa tuna practice tusingekua tunaona miradi yetu inajengwa na wazungu.
Tuna practise sana tu. Mirad kupewa wazungu maranyingi ni kutokana na uzoefu na pesa walizonazo.
Sis huku makampuni yetu wanachokosa ni fedha za juendesha miradi. +uzoefu.
But creativity iko pale pale. Hakuna engineering bila kuwa problem solver

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndiyo maana nikakwambia hujui mgawanyo wa majukumu
Una uhakika kwamba walikuwa walala? Kuna watu wamesoma social science na walikuwa wanakesha Mbona
Kuhusu mshahara ni kwamba unaweza ukamzidi mshahara HR na ni kawaida ndiyo maana daktari mwenye degree anaanza na 1.5M(kama sikosei)wakati hrm,sociology, public administration 700,000/- ambayo ni Mara 2
Kuhusu kupeleka barua kwa HR hiyo ndiyo moja ya majukumu yake, ni Kama wewe unapofanya structural design, unapopima strength of material maabara
Duuh! Nitarudi tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Engineer ni form six na hana cheti kingine? Makubwa haya

Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi nimemuelewa.
Anaposema Engineer form six maana yake mpaka anapata Bachelor Degree ya Engineering alipita A Level.
Wengine walimaliza Diploma ya Engineering au FTC (Full Technician Certificate) then akasoma Bachelor Degree ya Engineering na ndio maana anasema wenye vyeti viwili.
Ni rahisi sana usi complicate ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom