Tajiri Mapesa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2020
- 707
- 698
Wakuu nimeshituka saivi engineering sio issue tena kwasababu tutaishia kutumwa tu huku watu wa accounting, finance, procurement, HR, wakina madam Vero wanaingia ofisini na vipochi vimejaa lip sticks, na perfume na kuishia kukaa kwenye viyoyozi na kupokea, visimu vya mezani huku engineer anakuja na bonge la gubegi gumejaa PPE. (Buti kubwa, overall na liheliment).
Wakuu kiukweli ni matusi tupu kukesha kuwapelekea CV zetu HRS tulio wafunza hesabu olevel na advance wao waliwahi kulala sisi tukakesha na misuli. Leo ndio wanapima mishahara yetu.
Mbaya zaidi ukienda kwenye makampuni wanao pack vigari maofisini ni watu wa HR, ACCOUNTING AND FINANCE NA WATU WA PROCURE. Inauma sana wakuu.