Engineering haina issue kwa sasa

Engineering haina issue kwa sasa

Binafsi nimemuelewa.
Anaposema Engineer form six maana yake mpaka anapata Bachelor Degree ya Engineering alipita A Level.
Wengine walimaliza Diploma ya Engineering au FTC (Full Technician Certificate) then akasoma Bachelor Degree ya Engineering na ndio maana anasema wenye vyeti viwili.
Ni rahisi sana usi complicate ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa,mwenye kuanza na diploma ana uwanja mpana wa ufahamu kuliko wa form six anaenda digree
 
Tajiri Mapesa, Aisee kama unasoma engineering kuwa boss.. basi umekosea fani.
Engineer ni mtendaji.. mtekelezaji.. kwa wale wenye pashen ya kuvumbua na kutengeneza mambo fulani engineering inawafaa.

Kama ingekuwa haina ishu.. leo hii nafasi za kazi zingekuwa hazitangazwi kwa ma engineer.



Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ni engineer katika sekta ipi kwanza?
Engineer analalamika na kujifananisha a HRs!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu nimeshituka saivi engineering sio issue tena kwasababu tutaishia kutumwa tu huku watu wa accounting, finance, procurement, HR, wakina madam Vero wanaingia ofisini na vipochi vimejaa lip sticks, na perfume na kuishia kukaa kwenye viyoyozi na kupokea, visimu vya mezani huku engineer anakuja na bonge la gubegi gumejaa PPE. (Buti kubwa, overall na liheliment).

Wakuu kiukweli ni matusi tupu kukesha kuwapelekea CV zetu HRS tulio wafunza hesabu olevel na advance wao waliwahi kulala sisi tukakesha na misuli. Leo ndio wanapima mishahara yetu.

Mbaya zaidi ukienda kwenye makampuni wanao pack vigari maofisini ni watu wa HR, ACCOUNTING AND FINANCE NA WATU WA PROCURE. Inauma sana wakuu.
Engineer hana ishu nani kasema,wakati kiwanda kikizima hata lisaa limoja MD na watu wa Marketing wanamtafuta engineer wapo lazi wampe hata tako akawashe mtambo ,hapo ndio utajua mhandisi ndio nani ??
 
Imekuwa hivyo na iyakuwa hivyo. Ww kama unangaalia kuwa ulikesha sana imekula kwako.
Alie kuwahi amekuwahi.. sheria za chuo ukizileta mtaani utafeli. And pls hayo si matusi.. ni nafasi tu.

Ww ulichagua kulia.. mwenzio akachagua kushoto. Either way kila mtu atapitia njia yake kufanikiwa.
Lakim itabaki pale pale. Engineer ni mtu wa field.
Kama unaona HRS wanakula shav saana.. basi unaweza hama fani.
Wenye mapenz na field works wapo.. na wataendelea kuwepo. Acha kulalama hovyo kijana

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafasi bado ipo akishakuwa mhandisi unaweza ukakusanya mauzoefu plus MBA mwisho wa siku akaukwaa u MD harafu hao wote kina madame Cecilia wakawa wana report kwako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom