Engineer Alexandre Gustave Eiffel poses high on top of the completed Eiffel Tower in 1889.

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1639061321935.png

Engineer Alexandre Gustave Eiffel poses high on top of the completed Eiffel Tower in 1889. (Eiffel is the guy in the top hat at the bottom of the stairs).
 
Watu waliandamana kupinga ujenzi wa Eiffel Tower mpaka walipohakikishiwa kuwa Tower ilijengwa kwa maonesho tu na baada ya hapo itabomolewa.

Kwa ubora wake na sifa Ufaransa ilipata kwa kuwa na Eiffel Tower, wananchi waliandamana tena kupinga isibomolewe.
 
Mwanzoni niliogopa sana kupanda jengo kwa kutumia hizi ngazi nilikuwa nadhani nitadondoka!
 
Back
Top Bottom