Engine zinazodumu kwa muda mrefu

Mtoto Tajiri

JF-Expert Member
Sep 29, 2014
300
172
Habari wanaJamii. Naomba ushauri kwa wale wazoefu wa magari. Ni hivi, Je ni Engine gani ambazo zipo nafuu kidogo pia zinazodumu nitazoweza kufunga kwenye Hiace?
 
Toyota hiace zinaweza kufungwa injini ya 2y,3y,1rz,2rz na 3rz kwa matumizi ya mafuta ya petrol na 2l,3l,5l,1kz na 2c kwa matumizi ya mafuta ya diseli.Engine rahisi kidogo kati ya zote hapo ni 2y na 3y
 
Bei ya 2c na Ikz mkuu?
 
Bei ya engine ya 2c used ya dubai pale ilala 2.3-2m ila hii ya 1kz ipo juu sana kama 3L na 5L hiyo inacheza kwenye 4.5-4.2m used ya dubai
 
Toyota hiace zinaweza kufungwa injini ya 2y,3y,1rz,2rz na 3rz kwa matumizi ya mafuta ya petrol na 2l,3l,5l,1kz na 2c kwa matumizi ya mafuta ya diseli.Engine rahisi kidogo kati ya zote hapo ni 2y na 3y

Upo vizuri mkuu........hebu niambie kuhusu hii engine MR20............
 
Mkuu. Hii Engine Mr20de ni model ya nissan inatumia mafuta ya petrol ni engine mpya kabisa za kisasa zinazotumia mfumo wa EFI
 
Back
Top Bottom