Engine za 3S ( D4 ) Zina Matatizo Gani

Engine za 3S ( D4 ) Zina Matatizo Gani

Mitsubishi zote zilizoandikwa GDI(i.e IO pajero,RVR,Dion.....etc etc etc) ni sawa sawa na Toyota zote zenye D4(ie 3S-FSE engine unayopata kwenye premio,nadia,vista
mostly ardeo)
1JZX hii ni JZX110(mark 2 grande yenye VVTi)-yaani GX110 super charger yake,
Zipo pia kwenye 1AZ engines(opa ya 2.0,rav4 kilitime 2000+,voxy,noah ....)

So anytime you feel like asking feel free

Jamiix upo fit, au umekulia Japan
 
Ukweli ni kuwa kila update ya injini huwa ni imara ,yenye ufanisi na kudumu kupita ile iliyotagulia , bahati mbaya sana sisi huwa tunawategemea sana mafundi wetu ambao wengi wao wamekuwa wakifanya kazi hizo kiujanja ujanja bila kwenda shule au kujiendeleza kwa namna yoyote.hii imepelekea kwa mafundi hawa kuwa waotga sana na teknolojia mpya .yaani ingekuwa ni amri yao wangependa mjapani asitengeneze kabisa injini hizo! lakini Ikumbukwe kuwa sisi sio direct consumers wa hayo magari, wengi wetu huwa tunanunua magari yaliyokwisha tumika kwa maana kuwa
1:hatujui kwa nini hao watengenezaji wameamua kuweka D4 badala ya Efi kwa sababu hatupewi brohures au elimu yoyote tunaponua magari hayo
2:hatupewi nafasi ya kulalamika kwa manufacture kwa sababu simply hatununui direct kutoka eg.Toyota kwa maana ya kuwa walionunua na kupewa elimu na maana ya d4 ndio manufacture anawasikiliza , yaani kama teknolojia ni mbovu ,sumbufu au,haiaminiki manufacture angesitisha kuendelea na teknolojia hiyo! hata kama sisi third parties tunaona ni nzuri na kama teknolojia inakubalika na hao walionunua mapya basi ataendelea nayo hata kama sisi huku tunaiona shubiri!

Ushahidi upo !

tulipoipenda sana teknolojia ya carburetor na mafundi wetu wakaiona EFI kama jinamizi ,Manufactures waliendelea na production yaani kimsingi Carburetor tech walishaizika kitambo sana na baada ya muda sana sisi ndio tukaja kutambua umuhimu ,ufanisi na kudumu kulikotokana na EFI hii ni baada ya mafundi wetu wajanja wajanja wasiotaka kujifunza kitu kipya kuwa ililkuwa ngumu kukataa EFI .sishangai sana wanavyoipenda leo EFI na kuiona D4 jinamizi
tulipoipenda manual window operation walipoleta power window mafundi wailipinga sana lakini wakashindwa na inawalazimu wajifunze
tulipenda manual gearbox walipoleta auto gearbox walipinga leo hii hata malori yanatumia autogearbox

Mtoa mada ame specify kwenye injini ya 3s D4! lakini tatizo ni pana sana, yaani d4 hiyo ipo na inapingwa kwenye injini nyingi sana za toyota.iko common rail diesel nayo inapingwa sana ! iko Pump Duce ellemente PDE ya cummins nayo inapingwa sana, iko VVT i, VVT iL hali ni hiyo hiyo!
kimsingi d4 engines ni best kwa sababu zifuatazo
1:very effiient yaani mafuta yanayokuwa injected kwenye cylinder ndio yanayotakiwa kuungua hakuna exess fuel hvyo hakuna moshi
2:Ni rahisi kugundua tatizo linapotokea na kujua sababu zake, kwa kuwa zinatumia mfumo point to point monitoring na sensors .kwa kutumia computer software na diagnosis port ya gari fundi anapata urahisi wa kufahamu engine codes na matatizo yake. Hapa ndipo linapokuja tatizo la watu kudhani kwamba computer ni kwa ajili ya maofisini tu ,wanataka kutibu vitu the old way ilhali vitu hivyo ni full computerized
3:Ndio manufacture option kwa sasa! kwa wanaoikataa kila la heri ila hutaweza tena kuona EFI in production na zitapotea kama vile zilivyopotea carburetor
4: By the time mafundi wetu watakapoifahamu kwa kukariri vizuri D4, manufactures watakuwa wameopt new tech then, na mafundi wetu watakuwa busy kuipinga.

Limetajwa suala la mafuta! nikweli kuwa japan wana standard tofauti ya mafuta, ila wanapotengeneza new tech huwa hawaachi fundamental operation principals ie kama waliweza kutengeneza 3s Efi ikatoka japan na kuja africa principles ndio hizo hizo za 3sD4,
Akitengeneza gari ya kwenda UK kwa mfano litakuwa ni kutokana na fuel detail za huko.Kimsingi hili la mafuta Halina tofauti sana na watu wanavyoshauriwa kutoa water thermostat eti kwa sababu "ulaya kuna baridi huku kwetu kuna joto". Kumbe hali halisi ni kuwa thermostat ina kazi ya kuregulate engine temperature for optimal performance na ukitoa hupelekea temperature fluctuation kunakosababisha ufanisi hafifu na kuna uwezekano mkubwa wa gari kuchemsha!
kinaongezeka kitu kimoja tu!! D4 Do's and Do'not kitu ambacho wengi wetu hatutaki kujifunza. kama vile marubani wanapotakiwa kwenda shule zinapokuja ndege model mpya ndio hivyo watumiaji walitakiwa kujifunza kwa d4 this time hata kwa ku google tu inatosha.


Nawakilisha
 
Wakuu mimi ninayo Rav 4 new model d4!sijaona tatizo lake kabisaaaaaaaaaaaaaaa!nawashangaa watu wanalalamika engine D4 kimeo!siku hzi magari mengi engine ni D4 na VVTI!3s sidhani kama ipo bado,hapa nazungumzia magari ya kuanzia mwaka 2000 na kuendelea!

Kuhusu mafuta mimi naweka popote pale,hata petrol station za vichochoroni. Haya mambo ya magari ni kama watoto,ukiwachunga sana maradhi hayaishi,waache wazurure mwili unatengeneza immune ya kutosha!ndio hivo hivo,sijawahi kusumbuliwa na hii gari wala nini.

Na pia taa kuwaka kwa kupungukiwa mafuta kwenye gari yangu ni kutu cha kawaida!
 
Wakuu mimi ninayo Rav 4 new model d4!sijaona tatizo lake kabisaaaaaaaaaaaaaaa!nawashangaa watu wanalalamika engine D4 kimeo!siku hzi magari mengi engine ni D4 na VVTI!3s sidhani kama ipo bado,hapa nazungumzia magari ya kuanzia mwaka 2000 na kuendelea!

Kuhusu mafuta mimi naweka popote pale,hata petrol station za vichochoroni. Haya mambo ya magari ni kama watoto,ukiwachunga sana maradhi hayaishi,waache wazurure mwili unatengeneza immune ya kutosha!ndio hivo hivo,sijawahi kusumbuliwa na hii gari wala nini.

Na pia taa kuwaka kwa kupungukiwa mafuta kwenye gari yangu ni kutu cha kawaida!

Aisee, kwa hiyo unanishauri nini mkuu
 
Unajua ninacho kiona hapa ni kwamba watu hawana magari ya d4 engine ila wanatoa comments zao, ukichunguza vizuri wote wenye magari ya d4 engine wanasema hawajawahi pata tatizo. Mimi nikiwa mmja wao sijawahi pata tatizo la d4 engine huu mwaka wa nne sasa. Na mafuta nimesha jaza ovyo ovyo vituo vingingi tu.

Nnnacho kushauri kama unataka nunua nunua tu, Mtu huna gari ya d4 engine umesikia kwa watu na mafundi uchwara una comment tu kwa hoja za kiimla imla tu.
 
Back
Top Bottom