Engine ya Toyota Landcruiser ya 1HZ inahitajika

Ha ha ha ha ha ha ha!!!..

Mkuu Extra miles, heshima mbele ndugu yangu.

Hapa nimeona umuhimu wa miwani na kile ki-tufe cha "Preview" kabla huja-post na kila mara unapopitia uzi wako Mkuu.

Tuko pamoja, nishafanya masahihisho stahiki kwenye bandiko husika.

Nikutakie kila la kheri unavyofunga mwaka na unavyoingia mwaka 2019.

Natanguliza shukrani nyingi.

¬Mawio :):)!!!..
Sawa sawa Mkuu, zimefika bila shaka. Nikutakie heri ya mwaka mpya pia
 
Wakuu, salaam!!!..

Ninahitaji engine ya Landcruiser 1Hz Series iwe katika hali nzuri.

Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790

Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni mbili na nusu (2,500,000/=) Pesa za Ki-Tanzania.

Shukrani.
Na mwenye engine ya Passo 4 wheel piston 3 ni Pm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom