Ninahitaji used Landcruiser Hardtop

Mawio

Member
Nov 25, 2008
54
95
Wakuu, salaam!!!..

Ninahitaji used Landcruiser Hardtop, Pickup, Station wagon au Van, iwe na engine ya 1Hz, (engine tofauti na 1Hz tunaweza angalia uwezekano wa mazungumzo pia), iwe katika hali nzuri.

Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790

Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni tano kamili (5,000,000/=) Pesa za Ki-Tanzania.

Kama una bodi pekee pia tunaweza angalia uwezekano wa mazungumzo.

Niwatakie kheri ya msimu wa sikuu za mwisho wa mwaka!!!..

Shukrani.
 

Mawio

Member
Nov 25, 2008
54
95
We unaumwa. Yani cruiser mil. 5?????? Au unamaanisha mil. 50
Mkuu Hazchem!!!..

Yes, mimi niwaweza kuwa naumwa lakini kuna wazima ambao watakuwa na used landcruiser ya hali hio na uhitaji wa pesa hio tusiwadhalilishe Mkuu.

Nakuahidi tu, nikiipata nitai-post hapa kwa faida yetu sote ndani ya dunia hii yenye "NGUVU YA MTANDAO NA MAWASILIANO MKUU"!!!..

Shukrani.

:):)...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom