Mkuu wa mkoa Wa Rukwa mh. Stella Manyanya ametangaza kuwashughulikia wale wote watakaoleta maandamano na vurugu hasa akiwalenga chadema ameyasema hayo wakati akichangia muswada Wa katiba.
Ndio mana tunahitaji katiba mpya inayompa mwananchi wa kawaida demokrasia ya kweliMkuu wa Mkoa ni mwakilishi wa Serikali dhidi ya Wananchi.
Mbunge ni Mwakilishi wa Wananchi dhidi ya Serikali.
Sasa Mkuu wa Mkoa awe huyohuo M'bunge!!!!
Hii kitu inachanganya kwa kweli
Anatoa kauli za kimasaburi tu. Ptuuuuu!!Mkuu wa mkoa Wa Rukwa mh. Stella Manyanya ametangaza kuwashughulikia wale wote watakaoleta maandamano na vurugu hasa akiwalenga chadema ameyasema hayo wakati akichangia muswada Wa katiba.
Atangaze vita na mume wake ili asije akawa SHOGA. Lakini vita na wananchi haiwezi, ataishia kujikuta amelala makaburini baada ya kucamerouniwa.
Manyanya! jina kama mzizi mpori!Mkuu wa mkoa Wa Rukwa mh. Stella Manyanya ametangaza kuwashughulikia wale wote watakaoleta maandamano na vurugu hasa akiwalenga chadema ameyasema hayo wakati akichangia muswada Wa katiba.
Mkuu wa mkoa Wa Rukwa mh. Stella Manyanya ametangaza kuwashughulikia wale wote watakaoleta maandamano na vurugu hasa akiwalenga chadema ameyasema hayo wakati akichangia muswada Wa katiba.
Mkuu wa Mkoa ni mwakilishi wa Serikali dhidi ya Wananchi.
Mbunge ni Mwakilishi wa Wananchi dhidi ya Serikali.
Sasa Mkuu wa Mkoa awe huyohuo M'bunge!!!!
Hii kitu inachanganya kwa kweli
Mkuu wa mkoa Wa Rukwa mh. Stella Manyanya ametangaza kuwashughulikia wale wote watakaoleta maandamano na vurugu hasa akiwalenga chadema ameyasema hayo wakati akichangia muswada Wa katiba.
mtu anaitwa manyanya na akili zake kama nyanya. kwanza yeye ni 'wa kuja' tu huko Rukwa kama mwenzake 'Magesa'.
Hilo ni KOSA kubwa sana, ndiyo maana wengi wetu hatutaki kuona WABUNGE wanateuliwa kuwa WAKUU wa MIKOA. Huwezi kuwa mtunga sheria na msimamizi wakati huo huo.
Manyanya! jina kama mzizi mpori!
siyo kutoteuliwa tu! Hivi vyeo hawana kazi nchi hii zaidi ya uchochezi na kututia hasara. Vifutwe kabsaaaaa!
Kwa hakika hapo kuna mgongano wa masilahiMkuu wa Mkoa ni mwakilishi wa Serikali dhidi ya Wananchi.
Mbunge ni Mwakilishi wa Wananchi dhidi ya Serikali.
Sasa Mkuu wa Mkoa awe huyohuo M'bunge!!!!
Hii kitu inachanganya kwa kweli
Jamani! mbona kila siku kukicha ni vioja ndani ya CCM? najua ndani ya CCM kuna wachache ambao bado wako sane sasa kwa nini hawawaambii hao walio wengi na ni insane nini cha kufanya ili kuzuia aibu hii kwao wote? au nao wameiacha CCM kimya kimya?Mkuu wa mkoa Wa Rukwa mh. Stella Manyanya ametangaza kuwashughulikia wale wote watakaoleta maandamano na vurugu hasa akiwalenga chadema ameyasema hayo wakati akichangia muswada Wa katiba.