U making a killing in forex?
no need ya kuwaonesha they dont know what it is keep on grinding broSina maneno mengi na sitaki maswali, asante.View attachment 1150688
Mbona mkipigwa hamtuletei mirejesho humu??
😂 😂 😂 😂Mbona mkipigwa hamtuletei mirejesho humu??
hivi ushawahi nunua odd?FOREX NI WIZII TUU Yani ukitoa pesa yako ufundishwa forex ni sawa na mtu anaenunua Odds za kubet kufanikiwa ni ndotooo
Huo ujinga siwezi fanyaahivi ushawahi nunua odd?
Na mimi nikupostie zangu nini??? ninazo za mamilion hapaaHakuna cha wizi wala nini watu tunakung'uta kisawa sawaView attachment 1150761
mimi nanazo za uhakika natengeneza mwenyewe. lakini siuzi najilipua mwenyewe(yaani najiuzia)Huo ujinga siwezi fanyaa
Bro..it's real wala sikutanii...mm na ww hatuna utani wala sina sababu ya kukudanganya that is my trade and I am coplete honest with you......tek it or leave it...Na mimi nikupostie zangu nini??? ninazo za mamilion hapaa
Demo iyo njoo real uko ushaivaHakuna cha wizi wala nini watu tunakung'uta kisawa sawaView attachment 1150761
That is a real account....labda kama unataka nikuonyeshe dashboardDemo iyo njoo real uko ushaiva
Wewe tuThat is a real account....labda kama unataka nikuonyeshe dashboard