wanatamani
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 415
- 145
Najua wapenda kujua mengi zaidi. Chukua hii kwanza ,iwapo unadeni la 500. Tigo na unashida ya kuendelea kupata huduma na unajifikiria ukiweka 500 watakata deni. Hahahahaaa usijali nunu vocha yako kwangua piga *104*namba za vocha *01# ok hapo utakuwa umeshajiunga bila kulipa deni lao.