alexelias
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,032
- 3,198
Zipo taarifa kwamba Makonda anatumia ushawishi wake katika Vyombo vya Dola kumhujumu Ghalib wa GSM kisa yeye kuidhamini Klabu ya mpira wa miguu ya Yanga ni ushamba ULIOTOPEA!
Bifu za kishamba namna hiyo hazifahi!Hakuna aliye sababisha Klabu yake pendwa ya Simba ifanye vibaya katika Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika bali ni wao wenyewe walioamua wafanye vibaya.Asilaumiwe Yanga na akina GSM.
SIASA ZA KISHAMBA NAMNA HIYO KATIKA SOKA NDIZO HASA HUTUPELEKEA KUTOFANYA VYEMA KATIKA MASHINDANO MBALIMBALI.
TUACHE SIASA KATIKA SOKA KAMA KWELI TUNATAKA TUPIGE HATUA.