Endapo ni kweli Makonda anamnyanyasa GHALIB (GSM) kisa yeye kuwa Mdhamini wa timu ya Yanga ni USHAMBA ULIOTOPEA!

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,032
3,198
Zipo taarifa kwamba Makonda anatumia ushawishi wake katika Vyombo vya Dola kumhujumu Ghalib wa GSM kisa yeye kuidhamini Klabu ya mpira wa miguu ya Yanga ni ushamba ULIOTOPEA!
Bifu za kishamba namna hiyo hazifahi!Hakuna aliye sababisha Klabu yake pendwa ya Simba ifanye vibaya katika Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika bali ni wao wenyewe walioamua wafanye vibaya.Asilaumiwe Yanga na akina GSM.

SIASA ZA KISHAMBA NAMNA HIYO KATIKA SOKA NDIZO HASA HUTUPELEKEA KUTOFANYA VYEMA KATIKA MASHINDANO MBALIMBALI.

TUACHE SIASA KATIKA SOKA KAMA KWELI TUNATAKA TUPIGE HATUA.
 
Mbona kama taarifa yako haina maelezo kanali?
 
Wewe ni Mfitini, tena unapropaganda za kishamba sana. Huyo Makonda na HSC haiji kuwa kama unavyoropoka ili kumpaka tope DAB narudia tena, wewe ni mkosanishi tena wa kiwango cha SGR.
 
Mimi sina sababu ya kumfitini Makonda kwa lolote.Kwanza ni CCM MWENZANGU.Lakini kama lipo jambo baya akitaka kufanya lazima tumkemee!
 
Sidhani Makonda anaweza kufanya hivyo, kama aliweza kuwapa eneo kwa ajili ya uwanja leo hii apate wivu kisa GSM kuwadhamini hao Senene wa kijani.

Ni kweli kabisa Mkuu, hii habari ina walakini, kuna fitina inaundwa hapa sasa sijajua inalenga kudhoofisha upande gani? Kati ya GSM, RC Mwenyewe au Yanga
 
Wewe ni Mfitini, tena unapropaganda za kishamba sana. Huyo Makonda na HSC haiji kuwa kama unavyoropoka ili kumpaka tope DAB narudia tena, wewe ni mkosanishi tena wa kiwango cha SGR.
Ni kweli bashite ni ngombe alianza kwa manji unadhani hatujui subir muda utaongea
 
Simba na Yanga ni timu za 'dola' yoyote yule atakaejipendekeza kwny hizo timu lazima aliwe kichwa.

Hawa wadhamini uchwara sijui kwanini hua hawataki kuelewa hili jambo.
 
Sio timu za dola sema walio mamlakani hutumia nguvu za dola kwa kutengeneza mamlaka yao kwa kuwa ni timu za wananchi, na ndizo dira ya soka la nchi, kuna gombania goli kali sana ya maslahi katika timu zile, Mapenzi ni ya wananchi ila maslahi ni ya vikundi vichache vya watu, Simba na Yanga kila mkoa wakiamua kuwa na majengo ya ghorofa 5 kila mkoa zinaweza, ila ndio hivyo vikundi vya wachache vinafaidi kila baada ya chaguzi za klabu na mikutano uchwara ya kubadili katiba za vilabu
 
Back
Top Bottom