onesha udhibitisho jinsi utakavyo ua muungano na sio kudhani
Watu kama Komba waliosoma kisomo cha manufaa michango yao uioni?
Serikali ya Muungano inashughulikia mambo ya Muungano na mambo ya Tanzania Bara yasiyo ya Muungano! Kama ikitokea Waziri wa Jamhuri ya Muungano anashughulikia mambo ya Tanzania Bara hataitwa Waziri wa Tanzania Bara bali ni wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! As simple as that!Buchanan
swali.
Waziri wa kilimo wa Tanzania kweli ni Watanzania au waBara
Mahkama ya Tanzania je ni kweli niya Tz au bara
Chama cha Mpira FAT kweli ni cha Tanzania au Bara
Waziri wa Afya kweli ni waTZ au bara
wewee BUCHANAN acha UMBWIGA wako sasa hapo umemjibu nini MWANKOLE? kama huwezi kusoma na kuandika weka makalio yako chini usikilize wanaojua kutoa mada na uishie kusoma tu na usijibu mama ukijibu utaharibu tu. MBURULA KWELI WEYEEKwa hiyo maoni aliyoyatupa Warioba sio maoni ya Wananchi?
kazi kweli kweli! ina maana katiba ya wananchi hujui sifa zake na inatakiwa iweje? hujiulizi kwanini maoni ya wananchi kupitia tume ya warioba yametupwa na watawala?
Mjinga siku zote atabaki kuwa mjinga tu hata umwelimishe vipi.
Wakuu
Endapo UKAWA watapiga kampeni za kutosha hasa upande wa Zanzibar tunaweza tusipate Katiba mpya kwa kuwa 2/3 itakuwa haijapatikana.
End result ni kwamba tutabaki na Katiba ya JMT, 1977 ambayo ina mambo machache mazuri ukilinganisha na Katiba inayopendekezwa! Kwa mfano Katiba inayopendekezwa ina mambo yafuatayo mazuri sana:
1. Matokeo ya kura za Urais kupingwa mahakamani.
2. Mgombea huru.
3. Tume Huru ya Uchaguzi.
4. Zanzibar kukopa.
5. Zanzibar kujiunga na Jumuiya za Kimataifa.
6. Migongano ya Katiba ya JMT na ya Zanzibar imeondolewa.
7. Rais wa Zanzibar kuwa Makamu wa Rais.
8. Kuondolewa mafuta na gesi kwenye Orodha ya Mambo ya Muungano.
9. Nk.
Tukipiga kura ya HAPANA maana yake hayo mambo hapo juu tutayakosa na tutarudi kwenye Katiba ya sasa.
Watu wasifikiri kwamba Katiba inayopendekezwa itarudishwa Bungeni kufanyiwa marekebisho.
Ni heri tukubali Katiba inayopendekezwa, hayo madai mengine tuendelee kuyadai taratibu.
Otherwise, hata kama tukiikataa Katiba inayopendekezwa simply kwa kuwa haina Serikali 3 tutaendelea na Katiba ya sasa ambayo nayo haina Serikali 3.
Nawasilisha kwa mjadala zaidi.
mkuu, Buchanan hoja yako ni dhaifu sana na umeshindwa kuitetea kwa kutumia akili kuntu. kajipange upya urudi.
ila unapaswa kuelewa kwamba kuwa na makamu wa rais 3 ni gharama kwa walipakodi. aidha naomba unifafanulie UHURU wa tume 'huru' ya uchaguzi utakuwaje? huo uhuru unatokana na nini ambacho hii tume ya sasa inakikosa? au kule tu kuitwa HURU ndiyo tofauti?
Ni sawa hivi tulihitaji mambo hayo tu? Tatizo ni jinsi ilivyominya maoni ya watu wengi na kuweka ya chama!
Sasa na wewe umejibu nini hapo?wewee BUCHANAN acha UMBWIGA wako sasa hapo umemjibu nini MWANKOLE? kama huwezi kusoma na kuandika weka makalio yako chini usikilize wanaojua kutoa mada na uishie kusoma tu na usijibu mama ukijibu utaharibu tu. MBURULA KWELI WEYEE