Mj alikiri lini alikuwa anauchukia uafrika.... Hehehe... Au Mj wa magomeni nn
Alichowahi kukiri Mj ni kwamba alikuwa anafanya makeup baas... Hayo mengine umetunga...
Rejea interview yake na Oprah, mahojiano yake na Martin Bashir...
Achana na mainterview wewe wa wapi? yale ni filter out (remove unwanted information) umeshawahi fatilia documentary zake especially ile ya 2004? Au unadeal na google tu?
Besides ngoja nikuache na mahaba nisukumize baharini yako kwa Mj
Over.

Fine.....
Michael jackson alikuwa na ugonjwa unaitwa Vitiligo... Hajawahi kuusaliti uafrika...
Hebu tafuta huko ujue chanzo chake cha kuwa anabadilika Rangi
Wazungu walimwita the wacko (crazy person) baada ya kuona ni mpole sana lakini matendo yake hadi shetani alimwogopa!
Alichokifanya kwenye ShowBizz kwa sasa hakuna anayeweza kukifanya
Unajua maana yake lakini mkuu
Yah! The guy really shaked the world. Alikuwa vr talented jamaa
Niko hapa die hard fans wa wacko jacko.
Nlishangaa baada ya DNA kuonesha nina vinasaba na michael jackson.ahahah!