Empakai, Arusha: Ndege ya Shirika la Coastal Aviation yaanguka. Watu 11 wafariki dunia

Please toeni hiyo picha ya ajali ya mwezi oktoba, nilikuwa napata shida kuona how watu 11 wamefariki wakati ndege iko in such relatively good conditon
 
RIP ndugu zetu!ila hawa pilots walioletwa mbona majanga?katikati ya Serengeti N.P na Arusha kuna feet7500-11000.(Ngorongoro highlands).sasa hapo nini tena kugonga Empakaai?Uchungu tu tunapeana!
 
Unanikumbusha 619 ya huyu jamaa.
Usikose survival series this sunday. Uone team raw tunavyotoa dozi kwa team smack down.
Bound for groly ishachezwa TNA
Mechi za survival series this sunday
-Team raw (Curt angle, strauwman, Finn barlor, Samoe joe, triple H ) VS Team smack down (shane mcmahoon, Bob roode, Randy orton, nakamura, John cena)

-Alexa blis vs charlote
-The shield vs New day
-The Miz vs Cobin Baron
-Shemus & Secero vs the usos
-Women team raw vs women team smack down
-Lesner vs Aj styles
R.IP wote mliofariki kwenye ajali ya ndege
????????!!
 
upload_2017-11-15_17-54-43.jpeg
 
Mbona haijalipuka wamekufaje sasa na mikanda walifunga?
Hivi nyie mavi.jana ya Tanzania mna akili kweli? Hapo umeona ndo imeanguka au mods walikuwa wanaonesha Ndege yenyewe iliyoanguka? Uache umazwazwa na we we!
 
Nadhani kitu ambacho hakijui ni kuwa mikanda katika ndege hutumika wakati wa takeoff na landing tu tofauti na kwenye gari, ila kwenye hizi ndege ndogo hushauriwa kuvaa mikanda wakati wote kwasababu ndege hizi ndogo inapokuwa juu mara nyingi kunakuwa na kupanda na kushuka kwa ghafla ( changing of levels) sasa kama hujafunga mkanda unaweza jikuta kwenye floor ya ndege au ukagongana na wenzako. PIA kwenye ndege iwe kubwa au ndogo, mikanda haisaidii chochote patokeapo ajali.
Hili zoezi la kushuka na kupaa ghafla lilinitesa sana kwenye Bombadier
 
Back
Top Bottom