Empakai, Arusha: Ndege ya Shirika la Coastal Aviation yaanguka. Watu 11 wafariki dunia

Poleni wafiwa..Ila kule Empakai Crater kwa kipindi hiki ni hatari sana.Hali ya hewa sio rafiki sana.
 
oh pole wafiwa nilidhani ni Gulf Stream G550
Unanikumbusha 619 ya huyu jamaa.
Usikose survival series this sunday. Uone team raw tunavyotoa dozi kwa team smack down.
Bound for groly ishachezwa TNA
Mechi za survival series this sunday
-Team raw (Curt angle, strauwman, Finn barlor, Samoe joe, triple H ) VS Team smack down (shane mcmahoon, Bob roode, Randy orton, nakamura, John cena)

-Alexa blis vs charlote
-The shield vs New day
-The Miz vs Cobin Baron
-Shemus & Secero vs the usos
-Women team raw vs women team smack down
-Lesner vs Aj styles
R.IP wote mliofariki kwenye ajali ya ndege
 
Mbona picha ni ya kitambo sana
Hii picha wameweka mods sio mimi, hii ndege kwenye picha ni ajali ya mwezi uliopita ya kampuni hiyo hiyo, ndege iliyo pata ajali ni Tail number 5H-EGG na hii kwenye picha iliyopata ajali mwezi uliopita ni 5H-THR.
 
ok thanks nimekusoma
 
Mbona haijalipuka wamekufaje sasa na mikanda walifunga?
unadhani kulikuwa na soft landing? fikiria mmetua kwa kishindo baada ya kugonga miti..
ghafla bila ya kuwa mmeiona kutokana na ukungu afu mbavu moja ivunjike na kuchoma moyo wako utasema hukufunga mkanda?
 
Nadhani kitu ambacho hakijui ni kuwa mikanda katika ndege hutumika wakati wa takeoff na landing tu tofauti na kwenye gari, ila kwenye hizi ndege ndogo hushauriwa kuvaa mikanda wakati wote kwasababu ndege hizi ndogo inapokuwa juu mara nyingi kunakuwa na kupanda na kushuka kwa ghafla ( changing of levels) sasa kama hujafunga mkanda unaweza jikuta kwenye floor ya ndege au ukagongana na wenzako. PIA kwenye ndege iwe kubwa au ndogo, mikanda haisaidii chochote patokeapo ajali.
 
Back
Top Bottom