EMOTIONAL ABUSE Vs. PHYSICAL ABUSE.... KIPI KIBAYA ZAIDI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

EMOTIONAL ABUSE Vs. PHYSICAL ABUSE.... KIPI KIBAYA ZAIDI

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by TIMING, Aug 16, 2011.

 1. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Wanajamvi,

  As usual... katika dimbwi kubwa la mawazo, nimejikuta nashangaa sana kwa kushindwa kuelewa, kati ya emotional abuse and physical abuse kipi kinauma zaidi

  Nimekua nikisikia akina dada wakisema ni bora uniache kuliko kuniabuse physically, unfortunately the same person anasema yani ni bora uniache kuliko kunicheat au kunidhalilisha kwa namna yoyote ile

  again, the very same group of people wanazungumzia madhara ya separation nk.

  I am confused, wich one would easily be tolerated?? physical au emotional abuse?

  MTM
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Aug 16, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Both are bad and both can leave the victim scarred for life. Physical abuse can result in physical injury or death whereas emotional abuse can drive someone to do the unthinkable.

  On which is worse than the other, that's a moot subject.
   
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu it depends even physical abuse most of the times go hand in hand with emotional abuse.

  Also depends na scale ya tendo sababu kumkata mtu mkono akawa kilema (cripples a person) na kumwambia mtu kila siku he/she is good for nothing unaweza ukamfanya akakata tamaa na in so doing una-cripple achievements zake

  Lakini emotional / psychological abuse effects zake ingawa sio rahisi kuziona.., huwa zinambadilisha mtu na kuwa a monster au kupoteza ule ucheshi na furaha yake kitu ambacho effect yake inaweza kuwadhuru hata watu wanamzunguka (its destroys a person completely)

  Kwahiyo in short hakuna kitu bora hapo na sometimes even emotional abuse zinaacha kovu kwa mtu ambalo haliwezi kufutika.
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  hivi ni mimi tu naona maluwe luwe jf leo????????
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Neither....
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  Aug 16, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  IMO emotiional abuse is the worst... as much as physical abuse is also despicable...
   
 7. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Nadhani physical abuse is worse....because it is almost always accompanied with emotional/psychological effect...but emotional si lazima iwe na physical effects!
   
 8. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #8
  Aug 17, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  MTM mimi huwa ninaumia sana kama mtu ataniadhibu kwa kosa la kumpenda......yaani atumie sababu ya kuwa ninampenda basi ndo anichezee, aniabuse aisee itaniuma sana kwa sababu kwangu huwa ni ngumu ku-undo kupenda, I know kwangu itachukua muda sana kusema sasa basi iwapo ataniabuse emotionally...........I have too many justifications for yeye kuniabuse emotionally than physically in short nitatumia muda mrefu sana kugundua kuwa huyu mtu ananiabuse emotionally than physically hence more pains.............so kwangu its better physical than emotion cause through physical nitaweza kureact faster without giving him benefit of doubt kuliko emotional.

  Nikisema na kukuonyesha ninakupenda, huwa ninamaanisha na nikigundua am falling for a wrong place then nakuavoid ili nisiendelee kukupa nafasi ya kuniumiza emotionally. I am ready to go an extra mile for the love I have for you but not ready to go an extra mile for you to abuse me for loving you dearly...................believe me I have learnt my lessons through the hardest way............
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  wengi humu mtachangia kwa kufikiria mapenzi but......kuna watu mfano
  wamama wa uswahili wanapata all forms of abuse...

  unakuta mume mlevi mbwa...mama anapata physical na emotional abuse kutoka kwa mtu

  mwenye alcohol abuse.....halafu mama huyo huyo ana mtoto teja....
  so mama anapata tena all kinds of abuse kutoka kwa mtoto mwenye drug abuse.....
  unakuja kwa majirani wanaomunyeshea kidole n kumsema.......

  pata picha hapo....na hakuna cha psychologist wala therapist wanadunda tu na maisha....
   
 10. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #10
  Aug 17, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  The Boss ...............si lazima awe mama wa Uswahilini shemeji...........hta hao unaowaita wasomi wanakuwa abused na wasomi wenzao sema tu hawako tayari kusema untill mambo yamewafika shingoni. Lakini kama ulivyosema I always admire mwanamke aliye mvumilivu but Godh its hard meeen
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  sawasawa
  definition yangu ya uswahilini ni maeneo yenye mbanano wa watu
  so waweza kuwa ni msomi ukaishi uswahilini still
  na mwingine elimu hana but anaishi pembeni ya mji,sio uswahilini...
  simaanishi class.....
  wapo watu wana pesa na wanaishi uswahilini...
   
 12. Salanga

  Salanga JF-Expert Member

  #12
  Aug 17, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />


  Physical abuse goes hand in hand with emotion abuse and at the end of the day they both lead to physiological problems which affect brain ,hypothalamus.Emotional abuse has its pronounced effect to women depending on which part of the brain is responsible with reaction to stress in each.

  So here,the fact that both of them lead to a kind of malfunctioning of the human physiological processes: both of them are to diseases of central nervious system.
  Due to the fact that they do not affect organs in men and women in the same magnitude ,women tend to develop diseases like depression,pathologies of personality,self blaming etc and eventually may lead to suicide.  I WOULD LIKE TO ADVICE THAT ANY KIND OF ABUSE BE AVOIDED FOR THE EFFECT OF IT LEAD TO MOST KILLER IN THE WORLD= STRESS

  Pamoja sana MTM,Lizzy...............
   
 13. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #13
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nilishapitia zote, lakini kwangu hakuna iliyo mbaya kama emotional abuse kuna wakati ilikuwa kila nikijitazama huwa najiona siko yule niliyekuwa unapoteza ucheshi wako/kuna wakati unaweza jisikia mnyonge tu,unaweza jikuta hujithamini na kufanya mambo yaliyo nje ya utashi wako veeeeeeeeeery bad!inahitaji ushauri wa hali ya juu na marafiki walio wema kukutoa hapo.
   
 14. Tulizo

  Tulizo JF-Expert Member

  #14
  Aug 17, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 849
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Mkuu..kumbuka maumivu ya mahusiano/mapenzi yako kichwani (upstairs)...watu wengine wanapenda kuita moyoni...

  Kuna njia nyingi za kujeruhi moyo (au akili).. Physical kwa kutumia panga/ngumi etc au Emotional kwa kutumia laser radiation

  Kujua kati ya emotional abuse vs Physical Abuse kipi kibaya.. Fananisha na kuuwa moyo wa mtu kwa kutumia panga au Laser Radiation...Moja unatumia nguvu ambazo hadi zifike kiasi fulani ndio madhara yanaonekana....na nyingine (laser/emotional) hutumii nguvu lakini maumivu yanapenya kwa kasi na hatari sana..
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Aug 17, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  aAise.....
   
Loading...