MPENDA USAWA
Senior Member
- Oct 15, 2012
- 169
- 30
wewe umejuaje katumia hizo hela?
wivu tu unakusumbua
Hebu atupe Maeneo muhimu ya matumizi na makadirio......aseme pia approximations anazofanya ana base kwenye nini..!!Alizitumiaje?
dogo mzushi tu huyu boom la 0.5% linamzingua kapata hela ya intenet cafe basi ni kusumbua tu watu humuHebu atupe Maeneo muhimu ya matumizi na makadirio......aseme pia approximations anazofanya ana base kwenye nini..!!
Nina amini sio kila kitu kinachosemwa ni uzushi isipokuwa watu wengine hawajui jinsi ya ku-present their case.
Wewe MPENDA USAWA guy, ambaye leo ndo umepost kwa mara ya kwanza baada ya ku-join jana, rudi hapa uongee kama kijana anaesoma chuo kikuu na sio mhuni wa Mbagala.
Dogo, HOJA iko wapi hapa?Pigana na hoja sio mimi!!!simple mind always attack people and nt issues
au huyo dada kamtosa? alitaka kula hela ya mdada kanyimwa anakuja kumponda humu.Dogo, HOJA iko wapi hapa?
Tunajaribu kukusaidia wewe unaleta kubwa kuliko....huwezi kujifunza kwa attitude yako hiyo.
Nisome hapo juu!
na akithibitisha nitashangaa kama hata wanaojiita wasomi wananunuliwa katika uchaguzi..........Hebu atupe Maeneo muhimu ya matumizi na makadirio......aseme pia approximations anazofanya ana base kwenye nini..!!
Nina amini sio kila kitu kinachosemwa ni uzushi isipokuwa watu wengine hawajui jinsi ya ku-present their case.
Wewe MPENDA USAWA guy, ambaye leo ndo umepost kwa mara ya kwanza baada ya ku-join jana, rudi hapa uongee kama kijana anaesoma chuo kikuu na sio mhuni wa Mbagala.
mmh smile si kawaida yako na wewe una hisa na huyu dada nini
ahahaaaaaaaaaahayo ndio matumizi ya pesa,na inawezekana kabisa wewe ulikuwa mgmbea hicho kiti ukatoswa na kura,sasa umemchafua
hahahahaa........kwasababu ameshindwa kutetea alichoandika, tumuombe akiondoe hapa na akipeleke facebook.au huyo dada kamtosa? alitaka kula hela ya mdada kanyimwa anakuja kumponda humu.
Huo ni mpango maalumu wa CCM kupitia UVCCM.....Buy them, ndio mpango wenyewe.na akithibitisha nitashangaa kama hata wanaojiita wasomi wananunuliwa katika uchaguzi..........