Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,249
what about Innocent Galinoma? where is he?????
what about Innocent Galinoma? where is he?????
Owww....wanaojua waje watuambie....kama ni yeye au huyoo mzansi...i like the song!
Hivi aliimba pia ile 'Zannzibarrrrr'??
Nilikuwa naupenda ule mwimbo wake na yule dada.....Nkulila was gooooooooood...
Hivi aliimba pia ile 'Zannzibarrrrr'??
Nilikuwa naupenda ule mwimbo wake na yule dada.....Nkulila was gooooooooood...
zanzibar ni msauz yeye hit song yake inaitwa pain in meOwww....wanaojua waje watuambie....kama ni yeye au huyoo mzansi...i like the song!
Huo wimbo Zanzibar si aliimba Sipho Sticks Mabuse wa Afrika Kusini? Siamni kama ni Emmanuel Nkulila labda mnieleweshe vema. "The beautiful island of Africa" ni baadhi ya maneno katika wimbo huo.
yupo cali,ni raia wa marekani sasa,alimpeleka mike mhagama L.A kupiga box
Na DJ show pia,,,wakipiga pini nyingi za mbele na kidogo kidogo bongo flavour.Daah....unamzungumzia MIKE,,,,PESAMBILI,,,,MHAGAMA cku za mwanzo za Radio one kwenye kipindi cha TOPTEN kila J2 kuanzia saa6 mchana jamaa alikuwa na sound nzuri yakutangazia kwakweli,,,!
Why did you tell me that you love me, while you know that you don't........nkulila
Upo sahihiHuo wimbo Zanzibar si aliimba Sipho Sticks Mabuse wa Afrika Kusini? Siamni kama ni Emmanuel Nkulila labda mnieleweshe vema. "The beautiful island of Africa" ni baadhi ya maneno katika wimbo huo.
siphon hotstick mabuse ndiyo mwenye hiyo wimboOwww....wanaojua waje watuambie....kama ni yeye au huyoo mzansi...i like the song!
Emanuel yupo, amejikita kwenye masuala ya mziki wa injili, pia alisoma masters of library and information science anayoifanyia Kazi.Wakuu, huyu jamaa nilitokea kumkubali sana enzi zile ya ile debut track yake ' Why can't you change your love for me' ambayo alimshirikisha mdada gani sijui. Back then, it was among my favorite songs. Ila nashindwa kuelewa kama jamaa aliendelea na mziki or currently where he is and what he's doing. Anayefahamu tafadhali naomba anijuze!
Anaish WAP mamakeEmanuel yupo, amejikita kwenye masuala ya mziki wa injili, pia alisoma masters of library and information science anayoifanyia Kazi.
Nakaa karibu na mama ake mzazi, nyumba aliyoijenga, tulikua nae mtaani mwaka huu mwezi wa Nne.