Sitapigwa ban kweli?? Mana haki za watoto. Ila mtoto white na sura ya pembe nne kama babake
Najua pengine nitakuwa nje ya mada lakini kusema ukweli sijawahi kumuelewa huyu jamaa... ni mchungaji, mtumishi, mwanamziki, maana huwa yupo uvuguuvugu tu...
Yaki dunia yupo, ya wokovu yupo haeleweki.. halafu show off nyingi sana zisizonamaana!
Bado kuvaa nguo za rangi za kike,mwanaume anavaa pink?? Yellow?Najua pengine nitakuwa nje ya mada lakini kusema ukweli sijawahi kumuelewa huyu jamaa... ni mchungaji, mtumishi, mwanamziki, maana huwa yupo uvuguuvugu tu...
Yaki dunia yupo, ya wokovu yupo haeleweki.. halafu show off nyingi sana zisizonamaana!
Sio ndoa,ndoa ya kilokole, sijui kilitokea nini paleNamsikiliza Emma mbasha hapa, anasema flora aliondoka na mimba Wakati wanaachana. Na anasema hawezi kumsema baba wa mtoto watu wanahuduma zao kubwa.
Hapa sijamwelewa. Kwann akubali tu mke kumwambia mtoto si wake vipi kama alionngea kwa hasira? Mana yule mtoto kiukweli kafanana sana na Emma.
NDOA ZINA MAMBO
Unamsikiliza wapi?Namsikiliza Emma mbasha hapa, anasema flora aliondoka na mimba Wakati wanaachana. Na anasema hawezi kumsema baba wa mtoto watu wanahuduma zao kubwa.
Hapa sijamwelewa. Kwann akubali tu mke kumwambia mtoto si wake vipi kama alionngea kwa hasira? Mana yule mtoto kiukweli kafanana sana na Emma.
NDOA ZINA MAMBO
weka picha kwa uthibitisho ..! Hatuna uhakika na maneno yakoNamsikiliza Emma mbasha hapa, anasema flora aliondoka na mimba Wakati wanaachana. Na anasema hawezi kumsema baba wa mtoto watu wanahuduma zao kubwa.
Hapa sijamwelewa. Kwann akubali tu mke kumwambia mtoto si wake vipi kama alionngea kwa hasira? Mana yule mtoto kiukweli kafanana sana na Emma.
NDOA ZINA MAMBO
jamaa kiukweli kapishana sana na yesu sizani kama nyumbani kwake kuna hata biblia nadhani siju yesu akurudi ndio wale aliowasema kuwa si kila aniutaye bwana atauona ufalmeNajua pengine nitakuwa nje ya mada lakini kusema ukweli sijawahi kumuelewa huyu jamaa... ni mchungaji, mtumishi, mwanamziki, maana huwa yupo uvuguuvugu tu...
Yaki dunia yupo, ya wokovu yupo haeleweki.. halafu show off nyingi sana zisizonamaana!
ila chonde chonde ndugu usimuingize askofu kwenye hii ligi tafadhariWatu siku hizi mnaacha huku midomo imejaa mate. Mwenzio anakula vyake taratiibu huku akimlinda bae asiangalie nje ya ua. We baki kupiga domo; Aliondoka na mimba yangu. Hayo si ungeliyasema siku anaondoka? Upuuzi mwingine hauhitaji kwenda sokoni kuununua.
Flora kishakuacha na kuolewa. Wewe unabaki kuonesha majimama mazee kuwa ati ndo unachukua mzigo. Ndoa gani hizo za vichaa tu. Hata askofu atakaye kufungia naye ana tatizo.