Emmanuel Mbasha: Flora Mbasha aliondoka akiwa na mimba, siwezi kumsema baba wa mtoto...

Queenever

JF-Expert Member
Aug 16, 2017
2,051
3,005
Namsikiliza Emma mbasha hapa, anasema flora aliondoka na mimba Wakati wanaachana na anasema hawezi kumsema baba wa mtoto watu wanahuduma zao kubwa.

Hapa sijamwelewa kwanini akubali tu mke kumwambia mtoto si wake vipi kama alionngea kwa hasira? mana yule mtoto kiukweli kafanana sana na Emma.

NDOA ZINA MAMBO
 
Najua pengine nitakuwa nje ya mada lakini kusema ukweli sijawahi kumuelewa huyu jamaa... ni mchungaji, mtumishi, mwanamziki, maana huwa yupo uvuguuvugu tu...

Yaki dunia yupo, ya wokovu yupo haeleweki.. halafu show off nyingi sana zisizonamaana!
Bado kuvaa nguo za rangi za kike,mwanaume anavaa pink?? Yellow?
 
Namsikiliza Emma mbasha hapa, anasema flora aliondoka na mimba Wakati wanaachana. Na anasema hawezi kumsema baba wa mtoto watu wanahuduma zao kubwa.

Hapa sijamwelewa. Kwann akubali tu mke kumwambia mtoto si wake vipi kama alionngea kwa hasira? Mana yule mtoto kiukweli kafanana sana na Emma.

NDOA ZINA MAMBO
Sio ndoa,ndoa ya kilokole, sijui kilitokea nini pale
 
Namsikiliza Emma mbasha hapa, anasema flora aliondoka na mimba Wakati wanaachana. Na anasema hawezi kumsema baba wa mtoto watu wanahuduma zao kubwa.

Hapa sijamwelewa. Kwann akubali tu mke kumwambia mtoto si wake vipi kama alionngea kwa hasira? Mana yule mtoto kiukweli kafanana sana na Emma.

NDOA ZINA MAMBO
Unamsikiliza wapi?
 
weka picha kwa uthibitisho ..! Hatuna uhakika na maneno yako
 
Najua pengine nitakuwa nje ya mada lakini kusema ukweli sijawahi kumuelewa huyu jamaa... ni mchungaji, mtumishi, mwanamziki, maana huwa yupo uvuguuvugu tu...

Yaki dunia yupo, ya wokovu yupo haeleweki.. halafu show off nyingi sana zisizonamaana!
jamaa kiukweli kapishana sana na yesu sizani kama nyumbani kwake kuna hata biblia nadhani siju yesu akurudi ndio wale aliowasema kuwa si kila aniutaye bwana atauona ufalme
 
Watu siku hizi mnaacha huku midomo imejaa mate. Mwenzio anakula vyake taratiibu huku akimlinda bae asiangalie nje ya ua. We baki kupiga domo; Aliondoka na mimba yangu. Hayo si ungeliyasema siku anaondoka? Upuuzi mwingine hauhitaji kwenda sokoni kuununua.
Flora kishakuacha na kuolewa. Wewe unabaki kuonesha majimama mazee kuwa ati ndo unachukua mzigo. Ndoa gani hizo za vichaa tu. Hata askofu atakaye kufungia naye ana tatizo.
 
ila chonde chonde ndugu usimuingize askofu kwenye hii ligi tafadhari
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom