Emmanuel Mbasha aachiliwa huru kesi ya ubakaji

Emmanuel Mbasha aachiliwa huru kesi ya ubakaji

Mwacheni Mungu aitwe Mungu. Mshenga na kundi lake wangeingia madarakani kijana angesota milele kama babu Seya. Na bado october 25 atawaadhibu sana
 
Sasa ni wakati wa kupiga 500m toka ccm,tumia akili ya kuzaliwa wajinga ndiyo waliwao

Siamini kama hela yetu ya 'madafu' imepoteza thamani kiasi hicho...maana siku hizi watu wanaongelea mamia ya mamilioni na mabilioni kana kwamba wanaongelea visenti. Kwa thamani gani au ushawishi gani alio nao Mbasha kulipwa 500m?!
 
Mkuu, 500M ni hela ndefu sana ambayo hata mimi nikipewa lazima niitishe press conference, ili mradi igharamiwe na hao hao. Nitapiga domo weee lakini hela nimeshakamata. Wafanyakazi wachache sana wanaokamata 500M kama pensheni ya miaka yao yote kazini
 
usimfunge mtu ili uwe huru kulala na mkewe. halafu unajiita kiongozi wa dini mzinzi
Nachojuwa ni kuwa, c vema ukahukumu usichokijua, kwani kati ya Mbasha na mkewe pamoja na hao wengine, wanachokisema hakuna anayejua mkweli ni nani, kwani kila mmoja anatoa ushahidi wake... Cha muhim ni kulikabidhi swala hili kwa Mungu ili mambo yawe hadharani... SAUTI YA WENGI, LAZIMA MUNGU ATAIJIBU
 
Sasa ni wakati wake wa kupiga pesa kupitia wanasiasa. Yaani asipopiga 500M muda huu uliobaki, fursa nyingine itabidi aisubiri 2020
Aisee aombe kuongea na vyombo vya habari,ataendelea kupata mialiko yenye malipo!
 
Wakuu, kesi iliyokuwa inamkabili aliye kuwa mume wa Florah Mbasha, ndugu Emmanuel Mbasha... Ambaye alishitakiwa kwa kitendo cha ubakaji. Mahakama imemkuta hana hatia... Na ameachiwa huru.
 
Attachments

  • 1442835638241.jpg
    1442835638241.jpg
    28.2 KB · Views: 653
Hao n mke na mume nashangaa wananchi kushadadi wakati mkiletewa hata kadi za alf 20 kuchangia mnasema msubiri mungu awaguse awaguse na kwenye kesi zao mwaachie wenyewe acheni viherereee heree wanajuana wao kwa wao msitie aibu jf
 
mbasha anazunguka na magufuli kwenye kampeni kwa hiyo hakuna kesi ilikuwa maigizo tu.

tangu lini ccm ikajishtaki mahakamani.

UKAWA ikiingia madarakani huu upuuzi hatuutaki tena wa wanasiasa kuingilia maamuzi ya mahakama.

haiwezekani mtu kabaka mchana kweupe leo mtuambia hakubaka.

huu ni ujinga uliopitiliza.
 
Kesi ilikuwa mahakamani haupeleka ushahidi unakuja kubwabwaja hapa jf. Kama hujaridhika na maamuzi kakate rufaa au mfunge kwenye gereza nyumbani kwako. Aaarrrrggg
 
Gwajima ninamchukia sana saanaaa... I hate him.
 
Back
Top Bottom