mbasha anazunguka na magufuli kwenye kampeni kwa hiyo hakuna kesi ilikuwa maigizo tu.
tangu lini ccm ikajishtaki mahakamani.
UKAWA ikiingia madarakani huu upuuzi hatuutaki tena wa wanasiasa kuingilia maamuzi ya mahakama.
haiwezekani mtu kabaka mchana kweupe leo mtuambia hakubaka.
huu ni ujinga uliopitiliza.
ulikuepo peleka ushahidi mahakamani