Emmanuel Mbasha aachiliwa huru kesi ya ubakaji

Emmanuel Mbasha aachiliwa huru kesi ya ubakaji

mbasha anazunguka na magufuli kwenye kampeni kwa hiyo hakuna kesi ilikuwa maigizo tu.

tangu lini ccm ikajishtaki mahakamani.

UKAWA ikiingia madarakani huu upuuzi hatuutaki tena wa wanasiasa kuingilia maamuzi ya mahakama.

haiwezekani mtu kabaka mchana kweupe leo mtuambia hakubaka.

huu ni ujinga uliopitiliza.

na wewe aliwahi kukubaka?
 
Mimi sisemi sana. Picha inaongea
FB_IMG_1442841892242.jpg
 
Masengest ya CCM huwa wanatia kinyaa sana ... siasa gani hizi ? Madini, gas, wanyama wanatoweka wewe unatuletea udaku huku... Grrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Hopefully, ni kwa haki na si sababu ya kuipigia kampeni ccm.........
.
168.jpg
2C31A19600000578-3231117-High_winds_Extreme_weather_is_believed_to_have_been_the_cause_of-a-2_1442006649054.jpg
 
Jamani msimuingize kwenye siasa kijana wa watu, pole zake nyingi kwa matatizo yaliyokuwa yamemkuta, hongera kwa kutendewa haki na mahakama
 
Masengest ya CCM huwa wanatia kinyaa sana ... siasa gani hizi ? Madini, gas, wanyama wanatoweka wewe unatuletea udaku huku... Grrrrrrrrrrrrrrrrr

Hivi wewe ndio mama Regina ? Mbona mapovu kila saa? GTFOH
 
mbasha anazunguka na magufuli kwenye kampeni kwa hiyo hakuna kesi ilikuwa maigizo tu.

tangu lini ccm ikajishtaki mahakamani.

UKAWA ikiingia madarakani huu upuuzi hatuutaki tena wa wanasiasa kuingilia maamuzi ya mahakama.

haiwezekani mtu kabaka mchana kweupe leo mtuambia hakubaka.

huu ni ujinga uliopitiliza.
Mkuu acha ujinga.
Kwani alipokuwa akibaka ulikuwepo?
Huyo aliyeshitaki kashindwa kuthibitisha sasa wewe mwenye ushahidi jitokeze uvipelelke vitdhibiti.
Mnajidai watu wa Mungu alie hai kumbe Askofu wenu ndiye mbakaji, na ni kwa nini yeye hakupeleka huo ushahidi?
 
Hii kesi was very interesting

Ni kweli kabisa alikiri kwenye recorded phone conversation kwamba alikula yule binti underage... kwa hiyari, sijui sheria ikoje

Lakini pia alitendwa na mkewe na Mch. Gwajima vibaya sana...

Should we rejoice?? somehow yes, sasa yuko huru kupambania yaliyobaki na mkewe... Somehow hapana, he fcuked underage girl
 
Wakuu mwenye picha ya huyo binti aliyedaiwa kubakwa tafadhali aturushie humu tumjue.
 
Hii kesi was very interesting

Ni kweli kabisa alikiri kwenye recorded phone conversation kwamba alikula yule binti underage... kwa hiyari, sijui sheria ikoje

Lakini pia alitendwa na mkewe na Mch. Gwajima vibaya sana...

Should we rejoice?? somehow yes, sasa yuko huru kupambania yaliyobaki na mkewe... Somehow hapana, he fcuked underage girl
Unà mtindio wa ubongo, siyo bure, au nawe unatafunwa na Gwajima nini?
 
Back
Top Bottom